Moyo unaniuma nikimkumbuka

Moyo unaniuma nikimkumbuka

estlyjonathan

Member
Joined
May 26, 2016
Posts
84
Reaction score
122
Habari zenu wanazengo....
Mimi ni Mama mwenye mtoto mmoja kwa bahati mbaya mzazi mwezangu alishafariki toka mwezi wa 6 mwaka huu, toka alivyofariki moyo wangu unaniuma na mara nyingi huwa namkumbuka nabaki kulia sana miaka kadhaa iliyopita tulitengana kila mtu alikuwa na maisha yake na mahusiano yake mapya tulikuwa atuongei ila ikafika kipindi alihitaji tupatane aliniomba sana msamaha na kweli nilimsamehe maisha yakaendelea tulikuwa tunachati, alikuwa anakuja nyumbani ila mara ya mwisho aliniomba kuwa anahitaji kuja nyumbani kujitambulisha ila nilikataa kutokana alikuwa hamuhudumii mtoto... tatizo linalonisumbua nakuwa namuwaza sana na kubaki kulia nikikumbuka matukio yote siku nilipopata taarifa kuwa amefariki, kuaga msiba sikuweza kabisa kumuangalia nabaki kuumia moyo tu
naombeni msaada nifanyaje ili niweze kumsahau Baba wa mtoto wangu
 
Pole sana! Kila mtu ana kipindi cha maumivu katika muda fulani katika maisha yake,piga moyo konde na usonge mbele.
 
Habari zenu wanazengo....
Mimi ni Mama mwenye mtoto mmoja kwa bahati mbaya mzazi mwezangu alishafariki toka mwezi wa 6 mwaka huu, toka alivyofariki moyo wangu unaniuma na mara nyingi huwa namkumbuka nabaki kulia sana miaka kadhaa iliyopita tulitengana kila mtu alikuwa na maisha yake na mahusiano yake mapya tulikuwa atuongei ila ikafika kipindi alihitaji tupatane aliniomba sana msamaha na kweli nilimsamehe maisha yakaendelea tulikuwa tunachati, alikuwa anakuja nyumbani ila mara ya mwisho aliniomba kuwa anahitaji kuja nyumbani kujitambulisha ila nilikataa kutokana alikuwa hamuhudumii mtoto... tatizo linalonisumbua nakuwa namuwaza sana na kubaki kulia nikikumbuka matukio yote siku nilipopata taarifa kuwa amefariki, kuaga msiba sikuweza kabisa kumuangalia nabaki kuumia moyo tu
naombeni msaada nifanyaje ili niweze kumsahau Baba wa mtoto wangu
Yawezekana Mungu anataka kukuonyesha sehem fulan ya maisha ambayo ni lazima uijue...nani anajua???.

Naamin kumsamehe ulimsamehe, ila ukweli nikwamba Kuna hisia za mapenzi, fujofujo mikwaruzano ya hapanapale ,furaha na burudani NDIVO UNAVYOVIMIS .

Upweke ni mbaya sana , tena unapomuona mwanae ndo kabisa unazidi .

Nadhan , kwa sasa unachohitaji ni Furaha nje ya Penzi la ndani .

Unahitaj kampan, kampan ya mtu atakayekupa Muda wake sana, atakayekuapo muda wowote ukimuhitaji , mtu wakukupa Furaha wee na mwanao , mtu wakubeba jukumu ilo kubwa na kulifanya kua dogo na jepesi .

Baadae ukooo mkielewana Kutunukiana kupo tu
 
Back
Top Bottom