Basi hongera, subiri watakufuata pmNina nia.
Kwani mkuu dini ni muhimu sana?
daftari la kujiandikisha kupiga kura lipo kwenye mitaa yenu hivo kila mwananchi mwenye haki ya kuchagua viongozi awapendao aende akajiandikishe.
wahi sasa kuepuka usumbufu wa foleni.
Abee!
Asante
Bahati ndo hiyo sasa; ujikute sasa unaichezeaAbee!
Punguza umama.
Nipe mkeo au umbu lako nikuoneshe uanaume wangu wa dar.Siyo umama, nimekuuliza hivyo makusudi tu kwani nyie wanaume wa Dar mna asili yenu, mtu anakuambia anatafuta demu kumbe anajitongozesha kwa wanaume ili aolewe yeye.
Sijachuja kiasi hicho mkuu...unanikosea heshima.ukifika hatua ya kutaka hata singo mama usisite kuni pm
wapo wengi kitaa huku ntakuunganisha nao mana hawataki hata kujiandikisha kwenye daftari la kudumu
pendekezo tuSijachuja kiasi hicho mkuu...unanikosea heshima.
Nenda kwa Rwakatale pale mwanaume kuandika andika mtandaoni kwamba unatafuta mke na wenyewe ni dalili ya upungufu wa nguvu za kiumeSio mimi jamani ni moyo. Mnaweza nilaumu mpaka kesho lakini Mimi mweupe pee kwa hili sijakosea. Ni moyo ndio unataka, na moyo ukitaka Hamna jinsi upe unachokitaka ili moyo utulie akili na mwili viendelee na mambo mengine.
Wakati wahitimu wa vyuo wakigombani ajira chache mitaani. Wadada wa JF wanapishana na gari LA mshahara. Ni takribani mwezi mmoja nimetoa tangazo la uhitaji wa Mrs. Nebuchadnezzar lakini mpaka Leo sijapokea barua ya maombi. Hivi, tuseme wadada wa JF mmeolewa wote au wote mna wachumba na mabwana?
Anyway, napunguza vigezo...ikitokea nimekosa kabisa...nawalaani wadada wote ambao hamjaolewa nabado mnazubaa. Hamtaolewa tena.
Haya kama una hivi vigezo, unanifaa.
1. Umri: 18-24 mwisho
2. Urefu: Awe mfupi sawa, awe mrefu sawa. Sina ubaguzi.
3. Rangi: Yyote ile...ila asiwe amejichubua. Sitakiiii.
4. Dini: Awe mkristo sawa awe muislamu sawa. Asiwe na dini sawa.
6. Elimu: Awe anajua kusoma na kuandika tu
Nimemaliza na hapa nikose sasa...tutaona tena kama mtapata bahati kama hii.
Foleni itoke wapi waandikishaji kutwa wanapiga miayo hamna wanakuja l kujiandikishadaftari la kujiandikisha kupiga kura lipo kwenye mitaa yenu hivo kila mwananchi mwenye haki ya kuchagua viongozi awapendao aende akajiandikishe.
wahi sasa kuepuka usumbufu wa foleni.
Nipe mkeo au umbu lako nikuoneshe uanaume wangu wa dar.