ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 220
Sema jinsia yako!
mimi ni me
...loh kazi imeanza,'ka junior' kanauza moyo jamani...
Maskini weee.. moyo wako unauza kiasi gani??
Anagawa bure...wewe unautaka? Itabidi huo wako uutupe jalalani...
Kaupeleke ile hospital yetu. Ya India, wahitaji ni wengi sana.