Moyo Mpweke

Pole sana, endelea kuvuta subira moyo utapata liwazo lake..
 
pole sana mpendwa
najua unachokipitia sio kitu rahisi
utaumia,utalia..lakini,utainuka tena
jiweke karibu zaidi na wazazi,familia +marafiki..hawawezi kuchukua nafasi ya mpenzi but itasaidia maumivu

kumbuka Hilo nalo litapita


Ahsante sana dada zidi kubarikiwa
 
What do you mean WATU8

des·per·ate (d s p r- t)adj.1. Having lost all hope; despairing.
2. Marked by, arising from, or showing despair: the desperate look of hunger; a desperate cry for help.
3. Reckless or violent because of despair: a desperate criminal.
4. Undertaken out of extreme urgency or as a last resort: a desperate attempt to save the family business.
5. Nearly hopeless; critical: a desperate illness; a desperate situation.
6. Suffering or driven by great need or distress: desperate for recognition.
7. Extremely intense: felt a desperate urge to tell the truth.
 

pole sana kwa hayo unayoyapitia yana mwisho.
Ni kiasi kidogo tu cha uvumilivu unapaswa kuwa nacho na mambo hayo yataisha.Bado ulimwengu huu una nafasi kubwa kwa watu wanohitaji kuonyesha mapenzi,huba,utu na heshima.usisite wala kusahau kumwomba Mwenyezi Mungu.
Kwa mbali ninahisi jambo jema litakutokea punde.
 
Hello! Napenda marafik wa kuchat nao umri 25-33
Who z ready to be my friend???
 
Mm niko peke yangu but I don't feel lonely,Usitegemee kupata furaha kutoka kwa mtu yeyote!!You are the one to decide coz u've got the keys!!
 
Tulikuasa kuwa mnyaruanda yule alikua anaishi isivyo halali ww ukanga'ng'nia ss ona unalia
 
Pole... kuna siku utampata. ..
 
Hivi huu utaratibu kuwa wanaume ndio wanaotongoza uliwekwa na nani...
 
Hivi huu utaratibu kuwa wanaume ndio wanaotongoza uliwekwa na nani...

Ulikuwepo enzi zile za mababu,Ila siku hizi hiyo haipo sana ukimpenda muibukie tu kwa kweli,
 
Pole, jaribu kutafuta activity zinazoweza kukufanya kuwa bizee most of time, but polee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…