habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Nina namani siku moja moyo wangu upate kutulia, nimpate wa kunienzi maishani mwangu mimi na yeye tule kiapo, anirejeshee furaha iliyopotea kwa miaka mingi, authamani utu wangu penzi lake kwangu nitalienzi, na mimi ni hisi nipo katika hii dunia kwenye huu ulimwengu wa mapenzi moyoni nipate kufarijika. Hata ningekuwa na uwezo wa kuinunua Dar es salaam yote, nikamiliki majumba na mafari ya kifahari lkn bado nahisi nina upungufu, moyo wangu mpweke unahitaji kutuliwa.
polee
yule mkenya umesha mbwaga?
habari ya hapa usiruhusu moyo wako uwe mpweke bana..u got friends! hang out dont give in to those thought utajikuta unaangukia koroma plizzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz.....jilazimishe kuuepuka upweke!!!!
habari ya hapa kumbe wew ni mshairi mzuri??
Nimeshindwa mkuu ikabidi niachie ngazi
jichanganye na watu na ufanye mambo ambayo huwa yanakufurahisha na kukupa mood nzuri.
Nimeshindwa mkuu ikabidi niachie ngazi