Moyo Mpweke

I need Love, I need Love , I need Love
Hi guys iam back...nahitaji kupendwa mpaka nisahau shida, msaada tafadhali....[emoji177][emoji178][emoji179]
Come this way [emoji7] [emoji7] [emoji7] I know how to do it perfectly [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Maisha ya u single ni raha sana ila kwa wanaume tu.
Nna miaka mingi mingi tu kwa hii game ya u single. karibuni kwa hii game
Dah... Wengi Mnajichanganya kuhusu kuwa "single".....Masingo wengi hawalali njaa[emoji87] [emoji87]
 
Kupendwa na kupenda ndo nin mdau wewe utajitia presha bure tu achana na izo mambo, mche Mungu wako, fanya mazoezi

Mwenzio na kula raha tu sababu nipo single (no love no stress)

Mh!?,We unataka kumpruve nani wrong utakuja pasuka,we go against mother nature in kazi ndogo..nyie ndo mnakujaga kua vichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…