Lewis Maker
Member
- Jan 25, 2019
- 47
- 16
Nikilala kiupande ndo hali inatokeagaNenda kwa watu wa cardiac
Unatatizo la presha ya kushuka?
Ni mlalo gani ambao ukilala hali hii hutokea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kahawa situmii ila zamani nilikuwa nakunywa hizi mo energy saivi nimeacha
Hakikisha unakunywa maji ya baridi glas 1/2 kila siku kabla ya kulala.
Fanya mazoezi kulainisha mafuta mwilini mwako.
Pendelea zaid kula mboga mboga
Sirudii
Asante sana kiongozi itabidi nirud hospital alafu sometym mapigo ya moyo yanavyokwenda mbio mwili unapooza hadi nguvu zinaisha naona maruerue kama kufa kufa ivi ila hali ikipotea nakuwa kawaida tuYote tisa kumi nenda kacheki moyo wako boss ni mambo mengi yanaweza sababisha hiyo hali na mengi yanahusisha kwa njia moja ama nyingine matatizo ya moyo
The earlier the better
Na badilisha lifestyle anza vijimazoezi kidogo vyakula vyako badilisha
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa hizi dalili unahitajika kuonana na daktari haraka sana.Asante sana kiongozi itabidi nirud hospital alafu sometym mapigo ya moyo yanavyokwenda mbio mwili unapooza hadi nguvu zinaisha naona maruerue kama kufa kufa ivi ila hali ikipotea nakuwa kawaida tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Presha ya kushuka hiyo na inavyoonesha kuna kitu kinasumbua akili yako,Asante sana kiongozi itabidi nirud hospital alafu sometym mapigo ya moyo yanavyokwenda mbio mwili unapooza hadi nguvu zinaisha naona maruerue kama kufa kufa ivi ila hali ikipotea nakuwa kawaida tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana naufanyia kazi ushauri wakomkuu kwa hali uliyonayo jitahidi kunywa maji mengi hata wakati wa kulala kila siku!! 1.5 lit au 2 litres!! itakusaidia sana sababu maji yana umuhimu mkubwa sana katika mzunguko wa damu mwilini hivo kuwa na supply nzuri ya oxygen..!! moyo kudunda kwa kasi mzunguko wa damu unapampiwa na moyo unakua mkubwa hivo suppy ya oxygn kuwa ndogo huweza kukusababishia kuishiwa nguvu au kuzimia kabisa.
Jitahidi kunywa maji kwa wingi zaidi kwa siku pia na nyakati kabla ya kulala.
Presha ya kushuka hiyo na inavyoonesha kuna kitu kinasumbua akili yako,
Licha ya kwenda hospital na kupata vipimo vyote lakini mazoezi ndio mkombozi wako, jioni unaweza kuruka kamba, kukimbia hata kutembea haraka haraka, push up kidogo ukitoa jasho, ukioga, kula unapata usingizi mnono usio na marue rue.
acha pombe mkuu kuna kipindi nilikuwa na tatizo kama lakoHabari zenu wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi huwa napata sana ilo tatizo la moyo kwenda mbio sana sana wakati wa usiku pia nikistuka pia moyo unaenda kasi sana mpaka inanibidi niamke nikae kwanza utulie pia hata wakati wa mchana ila sio sana,
Naombeni ushauri wenu katika pia nilishaenda hospital kupigwa x Ray pamoja kupima presha ila wakasema sina
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana rafiki.. vip una kilo ngapi???? urefu wako ni cm ngap????? tuanzie hapoHabari zenu wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi huwa napata sana ilo tatizo la moyo kwenda mbio sana sana wakati wa usiku pia nikistuka pia moyo unaenda kasi sana mpaka inanibidi niamke nikae kwanza utulie pia hata wakati wa mchana ila sio sana,
Naombeni ushauri wenu katika pia nilishaenda hospital kupigwa x Ray pamoja kupima presha ila wakasema sina
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina kg 73, urefu sijapima ila saiz ya katipole sana rafiki.. vip una kilo ngapi???? urefu wako ni cm ngap????? tuanzie hapo
Mimi sio mnywaji wa pombeacha pombe mkuu kuna kipindi nilikuwa na tatizo kama lako