Moving photographs

Tokyo40

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
2,065
1,924
ImageUploadedByJamiiForums1432751656.930855.jpg

Baba na Mtoto (1949 v/s 2009)

ImageUploadedByJamiiForums1432751814.543726.jpg

Janzeer, Mbwa wa polisi wa India, azikwa na heshima zote baada ya kuugua kwa muda mfupi. Kaokoa maelfu ya raia kwa kutumia ujuzi wake wa kunusa mabomu.

ImageUploadedByJamiiForums1432752219.883917.jpg

Mtu anaanguka kutoka ghorofa la World Trade Center, 9/11. USA.

ImageUploadedByJamiiForums1432752326.851325.jpg

Wafanyakazi wa kiwanda cha nguo wamekutwa wameshikana baada ya ghorofa lao kuporomoka,Bangladesh.

ImageUploadedByJamiiForums1432752668.901027.jpg

Mbwa, hataki kuondoka siku ya pili katika kaburi la mwenye mbwa aliyefariki Brazil katika mporomoko wa ardhi 2011.

ImageUploadedByJamiiForums1432752845.533878.jpg

Wananchi wa Papua, wakifunzwa namna ya kutumia Condom.

ImageUploadedByJamiiForums1432753469.217368.jpg

Eiffel Tower ya Paris inajengwa mwaka 1888.

ImageUploadedByJamiiForums1432753644.866534.jpg

"Enola Gay", ndege iliyopewa kazi ya kushusha mabomu ya kwanza ya nyuklia huko Hiroshima, Japan.

ImageUploadedByJamiiForums1432754198.951566.jpg

Quagga, mnyama kama pundamilia, mwaka 1870. Aina hii hawapo tena.
 
Jana niliangalia clip ya mtu anaejirusha toka ghorofani. Kuna watu wana roho ngumu kinoma
 
Neno 'moving' ulilolitumia kwenye title ya thread limenisumbua sana.Mwanzoni nikafikiri ni picha
zinazotembea ila picha ya mbwa jazeer na ya mtu kuanguka kutoka kwenye ghorofa, nikagundua
kwamba neno 'moving' limetumika kihisia na siyo hali ya kutembea!

Thanks kwa kuchangamsha ubongo wangu!
 
Neno 'moving' ulilolitumia kwenye title ya thread limenisumbua sana.Mwanzoni nikafikiri ni picha
zinazotembea ila picha ya mbwa jazeer na ya mtu kuanguka kutoka kwenye ghorofa, nikagundua
kwamba neno 'moving' limetumika kihisia na siyo hali ya kutembea!

Thanks kwa kuchangamsha ubongo wangu!

Shieka, na mimi nilifungua haraka haraka nikijua ni maana hiyo uliyoieleza ndipo baadae nikagundua ana maana nyingine.

Tiba
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom