Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 562
- 1,148
Ya Jimmy Caviezel Ndo iyo iyo passion of Christ ya Mel Gibson mkuuHii ya kina Mel Gibson, passon of christ ina kelele na fujo nyingi na haina mvuto wa kuitazama. Kuna nyingine starring ni Jimmy Caviazel hiyo haijawa maarufu sana Africa japo nayo ipo kwenye orodha ya sinema za Yesu
Hivi wale walioekti muvi ya Yesu ni mapdri na masista au warevi na wavuta bangi?Kati ya movies za Yesu ipi ulioikubali sana? Kati ya ile ya 1979 ambayo ilikuwa so popular hadi waliitafsiri kwa kiswahili au the passions of Christ?
Personally me ile ya kwanza ilikuwa nzuri sana but lugha haikuwa halisia kwani Yesu hakuongea kiingereza bali Aramaic ila stori was good na kuvutia na kiswahili kiliwekwa vizuri hadi nvokuja kucheki ya actual English hadi nikaona ya English ndo ilitafsiriwa jinsi nilivyoizoea ya Swahili Km Neria.
But the passions of Christ I thk is more authentic kwani waliongea Aramaic na Kihebrania na wale watawala wa Roma waliongea Latin so it was more accurate and authentic ingawa stori yake ilikuwa kuteswa sana hadi too much Jaman mwanzo mwisho lol. Wakristo mmeonaje?
Sawa kabisa mkuu wangu, Jimmy Caviazel ni starring na Mel Gibson ni producer wa hiyo movie ya passion of christ, niko sahihi hapo mkuu?Ya Jimmy Caviezel Ndo iyo iyo passion of Christ ya Mel Gibson mkuu
ni wasanii wa kucheza sinema waleHivi wale walioekti muvi ya Yesu ni mapdri na masista au warevi na wavuta bangi?
Kwenye passion of Christ yule mamaake yesu ni pisikali ya Hollywood,mcharuko flan hvHivi wale walioekti muvi ya Yesu ni mapdri na masista au warevi na wavuta bangi?
Yesu anamla denda maria MagdalenaYa Jimmy Caviezel Ndo iyo iyo passion of Christ ya Mel Gibson mkuu
Nimeangalia Sana ile movie,sijaona pahala yesu anasema yeye Mungu aombwe yeyeIle movie ni mahuburi tosha.......
Mood Hana hata Cha kuigwa.....
Yes Jimmy ndo yesu mwSawa kabisa mkuu wangu, Jimmy Caviazel ni starring na Mel Gibson ni producer wa hiyo movie ya passion of christ, niko sahihi hapo mkuu?