SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,658
- 24,666
- Thread starter
-
- #41
Kweli mkuu upo updated!Mule mule mie tena nilicheck mzee zote si unajua mtaalamu mwenyewe nazipata kwao, ukiielezea tu najua hii movie kali
Hizo mbili Wolf warrior na operation red sea nimezicheck, ila hiyo forgotten ndo bado bado! Itabidi nijaze bando niichukue pia, mkuu maisha mafupi haya nikipata muda ni movie na mimi mwanzo mwisho, kwakweli tunaburudikaKweli mkuu upo updated!sema kuna ambazo sijazipatia tu wasaa ila ni nzuri sana! Mathalani FORGOTTEN, WOLF WARRIOR na OPERATION RED SEA (Kama mpenzi wa mapigano).
Real, mkuu. Maisha ndo hayahaya.Hizo mbili Wolf warrior na operation red sea nimezicheck, ila hiyo forgotten ndo bado bado! Itabidi nijaze bando niichukue pia, mkuu maisha mafupi haya nikipata muda ni movie na mimi mwanzo mwisho, kwakweli tunaburudika
Hakuna shida mkuu tupo pamoja 🤝Real, mkuu. Maisha ndo hayahaya.
FORGOTTEN, OLDBOY, THE WOLF BRIGADE ... Zifanyir namna.
Nilijiuliza huyu jamaa yuko wapi? Karibu sana mzee baba.Nimeitikia wito mkuu, Shukran kwa nondo za nguvu.
Naam nishajiunga mkuu...Upo kule Telegram?
alafu mkuu naona maelezo na trailer ya Mulan, na hiyo mulan uliyoiweka ni vitu viwili tofauti kabisaMovies mpya hizi ndugu yangu, mpaka tungoje kidogo ndo' subs ziwe tayari. Wamejitahidi kwani wametumia kiingereza ndani
Tazama movies mkuu. Movie ni HIYOHIYO, MULAN 2020.alafu mkuu naona maelezo na trailer ya Mulan, na hiyo mulan uliyoiweka ni vitu viwili tofauti kabisa
nahisi umechenganya mafaili
Tafuta uitazame mkuuNaam nishajiunga mkuu...
nimeiangalia ndo maana nasema hivyo (japo na yenyewe ni Mulan ila trailer yake na story yake ni vitu viwili tofauti)Tazama movies mkuu. Movie ni HIYOHIYO, MULAN 2020.
Utofauti ni upi kwenye trailer mzee? Haujamwona mzee na binti yake aloyejitoa kumnusuru baba yake na kikombe cha kujumuishwa jeshini? Hujamwona mwanamke mlozi na jeshi lake humo ndani mzee?nimeiangalia ndo maana nasema hivyo (japo na yenyewe ni Mulan ila trailer yake na story yake ni vitu viwili tofauti)
Pamoja sana boss. Mizigo ipo ya kumwaga kule Telegram. Wewe tunimekaribia mkuu, pilika pilika tu mzee baba za kusaka ugali siunajua tena.
Pamoja boss.Nimeishuhudia mzee baba, nilikuwa na weekend nzr sana kwa kazi zile. Tisha sana mzee baba
Hapana, sijawahi mkuu. Vipi unahitaji?SteveMollel mkuu ulishawahi kutoa ufafanuzi kuhusu hizi series designated survivor au Westworld?? Naomba hints kama itawezekana mkuu
Si yule mwanamke mchawi anajibadilisha kuwa ndege (kwenye trailer) hayupo wala nini, wala wale watu wanapanda ukuta kwa kutembea kwa miguu, wala hakuna jeshi lolote la maana. movie sio hyo mkuu. haikonekani kama ni kazi ya Disney.Utofauti ni upi kwenye trailer mzee? Haujamwona mzee na binti yake aloyejitoa kumnusuru baba yake na kikombe cha kujumuishwa jeshini? Hujamwona mwanamke mlozi na jeshi lake humo ndani mzee?
Wewe umetazams Mulan nyingine ndugu.Si yule mwanamke mchawi anajibadilisha kuwa ndege (kwenye trailer) hayupo wala nini, wala wale watu wanapanda ukuta kwa kutembea kwa miguu, wala hakuna jeshi lolote la maana. movie sio hyo mkuu. haikonekani kama ni kazi ya Disney.
well... nimeishusha kwenye page yako ya TelegramWewe umetazams Mulan nyingine ndugu.
Na hiyo uliyoipakua mzee baba ndani inaitwa hivyohivyo Mulan?well... nimeishusha kwenye page yako ya Telegram