Movie za Kihindi

Wahindi movie za actions hapana kwakweli. Tena ukimkuta Ajay Devgan jamaa muongo sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani nachokaga sana, anapigwa ngumi au teke mpaka anaenda kuvunja ukuta anatokea upande wa pili...Jamani..ngumi gani ya hivi??
Akipigwa risasi sterring hafi. Ila jambazi ata risasi ya mguu kafa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Stering hata apigwe risasi mia hafi lkn jambazi akipigwa teke tu kafa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sio wahindi tu hata wachina na hollywood wanafanya hii sema wao wanaifanya vizuri na camera tricks na cgi za ukweli kuliko wahindi.
Yani za wahindi zinachekesha sana siwezi hata vumulia kutazama.
In fact siku hizi nachukia movie za super heroes naona za kitoto sijui superman sijui spiderman sijui ironman
 
Jamaa waongo sana,.ngoja nimalizie hapa arijun ek oddha ya majoka joka hahaahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…