Movie za Blu-ray 3D

Movie za Blu-ray 3D

Hinfay

Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
33
Reaction score
6
Samahani wadau ila naomba mnisaidie,eti wapi naweza nikapata hizi movie kwani ukienda torrents unaweza ukalia unakuta muvi 14gb na nyingine hadi 52gb...
 
Pole nenda tu theater ukalipe kiingilio bk 10 tu kwa muvi wenzio ulaaya internet ni huduma ya bure na lazima
 
Nairobi cd za blue ray zipo. ila decki zake duh, zinaanza 700,000/- na hiyo ni bei ya kariakoo
 
Nairobi cd za blue ray zipo. ila decki zake duh, zinaanza 700,000/- na hiyo ni bei ya kariakoo

Duh!
Haki'anani starehe gharama kweli. Sa' si bora ujiongeze ununue plasma screen na premium package ya Dstv tu.
 
Back
Top Bottom