newbeliever
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 248
- 48
Guys cinema gani/wapi hapa Dsm nitapata kucheck movie katika mfumo wa 3D?
miwani wanauzaga palepale cinema, mfano mimi nilinunulia century so ajaribu hivyo ataipatamleta mada unajua maana ya 3D!!! unataka movie za HD!! then tafuta miwani ya 3D!!
Guys cinema gani/wapi hapa Dsm nitapata kucheck movie katika mfumo wa 3D?
Cinema karibia zote wana 3D movies na wanatoa hizo miwani,hata mlimani ipo.mleta mada unajua maana ya 3D!!! unataka movie za HD!! then tafuta miwani ya 3D!!