Labda ndio wanaifanyia continuation tuone Bumblebee alifikaje duniani. Kwenye Transformers si wanaonyesha alivyompata Sam tu.Ila huyu Bee mbona kama kawa mdogo hivi ??
Gifted umeiona?Labda ndio wanaifanyia continuation tuone Bumblebee alifikaje duniani. Kwenye Transformers si wanaonyesha alivyompata Sam tu.
Ila logic ya Robot linakua haitakua nzuri!.
Ila Its possible kabisa kwasababu Transformers wanaweza kupeleka Sparks zao kwenye Automobile yoyote.Labda ndio wanaifanyia continuation tuone Bumblebee alifikaje duniani. Kwenye Transformers si wanaonyesha alivyompata Sam tu.
Ila logic ya Robot linakua haitakua nzuri!.
Hivi imeendelea!?.. Nimeishia wale mapacha wamemchukua yule dogo wa kiume!..Gifted umeiona?
imetengenezwa na Marvel
Bado mkuu.Hivi imeendelea!?.. Nimeishia wale mapacha wamemchukua yule dogo wa kiume!..
Dah!...Na hapo ni kweli aseh!..mwishoni wanaweza iingiza story ya Sam watu tukaendelea kufurahia!.Ila Its possible kabisa kwasababu Transformers wanaweza kupeleka Sparks zao kwenye Automobile yoyote.
Unakumbuka kwenye ile ya kwanza aliitoka kwenye Camaro ya zamani hadi ile mpya
Wakati unaisubiri AIW2 angalia Deadpool 2 yure jamaa ni mjinga sana!!.Bado mkuu.
naisubir kwa hamu mwendelezo wake. Sasa naisubir Infinity kwa hamuu
Kwakweli Grean lantern kwann hawamuweki Avangers au yupo justice league?Wakati unaisubiri AIW2 angalia Deadpool 2 yure jamaa ni mjinga sana!!.
Naona kaamua kuua version zake zote toka Wolverine 1 hadi Green Lantern
Hahahahaha, yaani i get to see Megatron again!Dah!...Na hapo ni kweli aseh!..mwishoni wanaweza iingiza story ya Sam watu tukaendelea kufurahia!.
Hawa jamaa wanachotufanyia sio haki kabisa!..π
Kama Animation ya Spiderman into spider verse
PB sina taarifa zake!.Bado Hawaja announce PB inatoka lini?
24hrs je?
Green Lantern yupo DC Comics msubiri kwenye Justice League/Suicide Squad nadhani watamleta yule Black sasa!!..Kwakweli Grean lantern kwann hawamuweki Avangers au yupo justice league?
deadpool je?
Hahha hapa ndo tutajua alifreeze vipi Antarctica!.Hahahahaha, yaani i get to see Megatron again!
ππππ
Kweli, kwasababu huwezijua kwanini agande kule kwa miaka yote ile....Hahha hapa ndo tutajua alifreeze vipi Antarctica!.
Mchele mmoja mapishi mia,.....sasa hizi movie ndio zimebeba maproject yajayo.. siri na kila kijacho wakuu.. watu wazima hawawezi kukaa tu watengeneze movie ya kusadikika bila maana nyuma ya pazia....
Wafanye hata Tease ya Optimus Prime aliupataje uPrime πKweli, kwasababu huwezijua kwanini agande kule kwa miaka yote ile....
Halafu baadae ndiyo awe activated, sijui alipigwa na nini.
Umeiona Animation ya Transformers Prime ???Wafanye hata Tease ya Optimus Prime aliupataje uPrime π
Asantee mkuuMchele mmoja mapishi mia,.....
Unajitahidi....