MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,745
- 71,610
Kuna siku moja Thanos na Adam Warlock waliingia anga za One Above all, yeye akafuta all of the Universe na kuwaacha wenyewe wawili. Wakaenda kupiga magoti kumuomba arudishe Universe, sasa akawauliza kwanini huwa wanataka kuifuta Universe wakiwa na ile Gaunlet ???Captain Marvel mwakani analetwa kwenye screen kwa movie yake na baadae ndio anakuja letwa kuungana na Avengers.
Spider man hawezi aga MCU sababu yeye ndio kiongozi wa kizazi kijacho cha superheroes lakini vile vile Thanos akiwa defeated na Captain Mar-vell na Doctor strange akaipata ile Infinity Gauntlet anaweza reverse Time kila kitu kikarudi kama kilivyo!. Ndio maana uliona Doctor strange alikuwa anaenda kwenye future kuangalia jinsi gani watamdefeat lakini akakuta kila moja Thanos anashinda na iliyobaki ni unless wampe anachotaka kwa kuja kumshinda baadae!.
Hiyo ya kuua nusu ya ulimwengu Thanos kafanya sana kwenye comics lakini ikawa inawezekana rudishwa!. Kuna wababe kama Beyonder, Adam warlock, The living tribunal, One above all, Molecule man wana nguvu zaidi ya ile Gauntlet.
Tusubiri mwendelezo aiseeThanos kapata time stone sasa Dr strange ata reverse vip time wakat hana time stone???
Inamuongelea babu yake na superman hiyo siyo!?... Nilifatilia tangazo lake tu nikaipotezea vipi nzuri au ipo kam supergirl!?Kuna series inaitwa KRYPTON
subir umuone Captain Mar-vell ambaye ndio powerfull hero on screen.Thanos kapata time stone sasa Dr strange ata reverse vip time wakat hana time stone???
adam warlock aka 'Him' kuna moja anakuwa The living tribunalAdam Warlock ndiyo hatari kwa Thanos kwasababu naye ana uwezo wa kuvaa ile gauntlet halafu anatumia Soul Stone vizuri sana.
Niliona tu The living tribunal anamuongelea huyo One above all alivyo mtata zaid ya cosmic being wote!!.. hivi ana sura!?Kuna siku moja Thanos na Adam Warlock waliingia anga za One Above all, yeye akafuta all of the Universe na kuwaacha wenyewe wawili. Wakaenda kupiga magoti kumuomba arudishe Universe, sasa akawauliza kwanini huwa wanataka kuifuta Universe wakiwa na ile Gaunlet ???
One above all is God, unasikia tu sauti yake. Hahahaha Marvel wajanja sanaNiliona tu The living tribunal anamuongelea huyo One above all alivyo mtata zaid ya cosmic being wote!!.. hivi ana sura!?
Adam Warlock atatengenezwa na wale jamaa wa njano wa kwenye Guardians of the Galaxy 2. Ukiangalia mwishoni pale waliposema watatafuta mtu ambaye hakosei ndiyo atakuwa Adamadam warlock aka 'Him' kuna moja anakuwa The living tribunal
Hahahh... Waliona kumpa sura isi geleta picha nzuri!.. Ila hata Adam Warlock nae alivyotengenezwa ni utata.One above all is God, unasikia tu sauti yake. Hahahaha Marvel wajanja sana
Hahh!!...inazidi pendeza tu.Adam Warlock atatengenezwa na wale jamaa wa njano wa kwenye Guardians of the Galaxy 2. Ukiangalia mwishoni pale waliposema watatafuta mtu ambaye hakosei ndiyo atakuwa Adam
Hahahahaha,Dormammu i have come to bargain. Niliipenda hii line.
Thanos ameleta mapinduzi Marvel aisee!Hahh!!...inazidi pendeza tu.
Sijaicheki infinity war. Hapa mnanitamanisha kichizi.Thanos ameleta mapinduzi Marvel aisee!
Universe nzima inavurugika kabisaa na kuanza upya!
Hivi Drax the destroyer ana nguvu gani unajua huwa simuelewi!..Dormammu i have come to bargain. Niliipenda hii line.
sasa sijui wataleta mbabe gani baada ya Thanos!.. Halafu na DC nao wamempa deal the rock kuigiza Black Adam naona nao wanapanic kuona soko linawatupa. Sasa nao sijui wataendelea na Captain Marvel au wanabakiza Shazam pekeeThanos ameleta mapinduzi Marvel aisee!
Universe nzima inavurugika kabisaa na kuanza upya!
Gotham : Mad CityYaani Marvel inabidi wajipange upya kwenye Spin-Offs na Series maana kazi zao nyingi walizotoa ni za kawaida.
Hivi umefuatilia GOTHAM ???
so far ndio movie ya kwanza naona Villain kashinda. Yani kama ungeweza subiri uicheki 2020 zote mbili na part 2 yake ili usiwe na hamu kama wengine tulioona nusu mzee!..Sijaicheki infinity war. Hapa mnanitamanisha kichizi.