Hangover 2 sijui kwanini imepata critics kiasi hicho maana kuna sehemu nyingine pia nimeona kuacha comments za Rotten Tomatoes for me it's an okay movie because it's fun nafikiri kwenye kui--rate naitaipa 3 star
Nimei-rate hivyo kwasababu tayari nimeishaiona na tena nimetoka kuiona last week sema to the dissapointing part ni kuwa Hangover 1 ilikuwa nzuri zaidi hii Hangover 2 it's the same plot except the dentist wakes up with a tattoo instead of a missing toothThat is so prejudiced and unfair The Finest... Grading before watching??
Ukute before the critics ungeipa hata 4.5.. ya kwanza uli i-rate vipi?
Nimei-rate hivyo kwasababu tayari nimeishaiona na tena nimetoka kuiona last week
Hahahaha!!!You are no longer my friend... sipendi woote walo angalia... am really not coming bak hapa mpaka niangalie...:doh:
The thing is, sijaangalia ya kwanza kwa hiyo siwezi kuruka na kuangalia ya pili.Eqlyps was looking forward to such a thread and i believe it is going to be very interesting...
i look forward to the members point of view even more... Hio Hangover 2 ulochagua working on
kuitazama... nimesoma comments za rotten tomatoes - but has not discouraged me for the
Americans ni mabingwa wa criticism ya movie hata iwe bomba vipi but in rare cases...
Ila from the view naamini it is fun and somehow vulgar for one or two people wamezungumzia
standards...
The thing is, sijaangalia ya kwanza kwa hiyo siwezi kuruka na kuangalia ya pili.
Tatizo nasubiria X-Men: First Class, Green Lantern, Harry Potter na Transformers: DOTM sasa sitaki kuangalia movie yoyote mpaka hizo zitoke.Pleeeeease Eqlypz I urge you usiguse kabisa number 2 without watching the first.... and do that quick!
In this case you will have to consider an older movie (not that old) but an interesting one we discuss that one...
That by the time most members have watched ndo tuingie Hangover 2 in relation to one...
Tatizo nasubiria X-Men: First Class, Green Lantern, Harry Potter na Transformers: DOTM sasa sitaki kuangalia movie yoyote mpaka hizo zitoke.
Lol, I am biased towards certain movies... Ngoja nitaiangalia weekend hii alafu nitakwenda theatre kuangalia ya pili right away.Come on Man!! what can be a better reason than watching while waiting... I know for a fact if you are willing hapo ulipo unaweza hata agiza mtu akuletee hio movie na leo ukaangalia... and its not even fair you brought up Hangover 2 while it seems you don't plan to watch... bana Eqlypz This is a COMMAND (kidding...) you to watch... now a reduced to begging (Pleeeeease....) at least give me a concrete reason for not watching it...
Lol, I am biased towards certain movies... Ngoja nitaiangalia weekend hii alafu nitakwenda theatre kuangalia ya pili right away.
mh? Sinema eeh?
Tayari kuna talks of making Hangover 3 kwa sababu it had a huge opening weekend.