Slay.Ila YOU AGAIN ilikuwa nzuri sana
Hiyo ya Idris inaitwaje?
Hahahah we umejuaje wameitoaKi ukweli bora walivyoitoa, movie mbaya sana, story haieleweki, sauti mbovu , uigizaji ndo kabisa, what a waste of time, nadhan hii ilitengenezwa tu na wahuni wenye pesa zao wakajipenyeza na wao waonekane Netflix ila Naona ndoto zimegonga mwamba wakaishiwa kutolewa kutokana na ubovu wa film yenyewe
Halafu Idris sio muigizaji wa kwanza kutoka Tanzania kuonekana Netflix, Mimi Mars was kwenye movie inaitwa YOU AGAIN aliyoshirikishwa na wakenya, na hatukusikia hizi kelele za kwenye mitandao za hovyo, Idris mshamba sana na ana ile Tabia ya kujifanya he is exceptional kuliko wenzie. Kama akiendelea hivi ataishia tu kuwa comedian wa Instagram
Binafsi sijaona ubaya wa movie, zaidi ya hapo kwenye sound.Hii ilikuwa inasifiwa hadi na Kikwete mara imeingia dosari!? 😳😳😳
Binafsi sijaona ubaya wa movie, zaidi ya hapo kwenye sound.
Umendika kwa chuki kuu tena za kinafsi, pole Idrissa umejitahidi kadri ya uwezo wako maisha ndivyo yalivyoKi ukweli bora walivyoitoa, movie mbaya sana, story haieleweki, sauti mbovu , uigizaji ndo kabisa, what a waste of time, nadhan hii ilitengenezwa tu na wahuni wenye pesa zao wakajipenyeza na wao waonekane Netflix ila Naona ndoto zimegonga mwamba wakaishiwa kutolewa kutokana na ubovu wa film yenyewe
Halafu Idris sio muigizaji wa kwanza kutoka Tanzania kuonekana Netflix, Mimi Mars was kwenye movie inaitwa YOU AGAIN aliyoshirikishwa na wakenya, na hatukusikia hizi kelele za kwenye mitandao za hovyo, Idris mshamba sana na ana ile Tabia ya kujifanya he is exceptional kuliko wenzie. Kama akiendelea hivi ataishia tu kuwa comedian wa Instagram
Kwani Idris mwenyewe anasemaje?Ki ukweli bora walivyoitoa, movie mbaya sana, story haieleweki, sauti mbovu , uigizaji ndo kabisa, what a waste of time, nadhan hii ilitengenezwa tu na wahuni wenye pesa zao wakajipenyeza na wao waonekane Netflix ila Naona ndoto zimegonga mwamba wakaishiwa kutolewa kutokana na ubovu wa film yenyewe
Halafu Idris sio muigizaji wa kwanza kutoka Tanzania kuonekana Netflix, Mimi Mars was kwenye movie inaitwa YOU AGAIN aliyoshirikishwa na wakenya, na hatukusikia hizi kelele za kwenye mitandao za hovyo, Idris mshamba sana na ana ile Tabia ya kujifanya he is exceptional kuliko wenzie. Kama akiendelea hivi ataishia tu kuwa comedian wa Instagram
Mwanaume anayeandika hivi namuona kama mama,Kwani Idris mwenyewe anasemaje?
Umetafuta chanzo kwanini haipo?Haipo, Nenda Netflix uone
Kikwetukwetu Inaitwa kimeumana ila huko wanaita slay..Ila YOU AGAIN ilikuwa nzuri sana
Hiyo ya Idris inaitwaje?