Movie ya Idris aliyoigiza hollywood inatoka lini?

Nukta5

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,180
1,276
Baada ya kumuona mwanadada/mwanamama Genevive Nnaji akizindua movie yake Netflix huku akisifiwa na wengi wakiwemo sisi watanzania, nikakumbuka nyumbani pia mbona mwaka juzi 2017 msanii wetu Idris Sultan alipewa nafasi ya kuigiza Hollywood na Director mkubwa kabisa kwenye movie inayoitwa 'Ballin...on the other side of the World'.
Swali: Hiyo movie bado haijakamilika na sisi tuweze kumuona tukijivunia kama wakenya na wanaija?
Ni hayo tu kwa leo.
 
Itakua bado jamaa alivyo mtu wa media asingeacha kusema
 
Baada ya kumuona mwanadada/mwanamama Genevive Nnaji akizindua movie yake Netflix huku akisifiwa na wengi wakiwemo sisi watanzania, nikakumbuka nyumbani pia mbona mwaka juzi 2017 msanii wetu Idris Sultan alipewa nafasi ya kuigiza Hollywood na Director mkubwa kabisa kwenye movie inayoitwa 'Ballin...on the other side of the World'.
Swali: Hiyo movie bado haijakamilika na sisi tuweze kumuona tukijivunia kama wakenya na wanaija?
Ni hayo tu kwa leo.
mcheki DM.
 
ilikuwa ni proposal tu ,hawakufanikiwa hata kupata fund,producer gani atoe 17 million dollars kwa cast isiyoeleweka ,ale hasara?
 
a.k.a kabobo, ipo kwenye pre production yani ipo kwenye makaratsi a.k.a script
blue m.PNG
 
Nimeona nadhani ata act as security chief lakin hawajawaweka picha zao kama.character wengine
hakuna movie,hawana hela walikuwa wanategemea kupata hela toka kwa producers 17 million usd,walichonacho ni script tu
 
Back
Top Bottom