Movie kali 2014

Movie kali 2014

Kwa wale wapenzi wa movies tujuzane ni movie gani kali ya mwaka 2014 iliyokusisimua?
Binafsi napenda action movies iwe military,spy na hata karate movies,

Non stop full movie 2014 by liam neeson
 
John Wick ya Keanu Reeves ni noma,the best nimeona mwaka huu..ikifuatiwa na Lucy, Chef na Top Five ya Chris Rock..Series kama kawaida Ray Donovan s2 ilikua poa..Na Fargo, hii series storyline yako ilikua hatari sana..
 
Mkuu hii kitu ninayo bado niko season 1 epsd ya 11 sijui kama nitamaliza na zilivyo nyingi..ila bado sijajua uhondo wake utakuaje mwishoni!

Iv series za kikorea unazidownlod vp?nkitumia torrents nazipqta
 
Crisis..
Hostages
Revenge season 4
Arrow season 3.....
The crossed stars
 
Lkn c nzuri mkli ...series gani nzuri Kali ya mwaka huu Kama hiyo ...alfu haijatoka yote ndo maana watu hawana mzuka kaka wanasubiria iwe complete mkli
 
1. I frankenstein
2. Dracula Untold (
3. The Maze Runner
4. Lucy ( science Friction)
5. Teenage Mutant Ninja Turtles
6. Maleficent
7. Hercules
8. The November Man
9. chines zodiac(2012)

Godzilla
Noah
Rise of planet of Apes
 
daaaah sijaona bado post ya muvi Kali kati ya wachangiaji wote walopita..
muvi zangu Kali...
0."a million ways to die in the west" hii ni nouuma usikose kuiangalia
1."Divergent.".uyu actress aleigiza umu ndani ni mzuri noma
2,guardians of galaxy.hii ni nouuma van dzel kucheza ka mti muda wote anaongea"l am glu"ka sijakosea
3.step up all in...ni nouuuuma hii
 
Kwa wale wapenzi wa movies tujuzane ni movie gani kali ya mwaka 2014 iliyokusisimua?
Binafsi napenda action movies iwe military,spy na hata karate movies,

1. Frankeinsten
2. Divergent
hiz movie ni sheeedah
 
Z NATION
ni tamu pia...ila kama hupendi mazombie...then achana nayo.....!
 
1.A million way to die in west(2014) utacheka mpaka ukome. 2.Think like a man2(2014). 3.7000(2014). 4.Night at the museum. 5.Edge of tomorow
6.The immatation game. 7. The grand Budapest hotel
 
1.A million way to die in west(2014) utacheka mpaka ukome. 2.Think like a man2(2014). 3.7000(2014). 4.Night at the museum. 5.Edge of tomorow
6.The immatation game. 7. The grand Budapest hotel

Am done with number 1 it's so amazing. Pamoja sana mkuu
 
The hobbit:the battle of five armies

Iyo kali sana

The Hobbit: The Desolation
of Smaug

The_Hobbit_-_The_Desolation_of_Smaug_theatrical_poster.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom