Salathiel m.
Senior Member
- Mar 12, 2011
- 185
- 41
wameshashauriwa hawa watu lakini hawauzingatii huo ushauri. Movie za kibongo zinatia kinyaa. Mara nyingi hizi movie zinapendwa kuangaliwa na watoto, wanafunzi pamoja na wanawake hasa wa uswahili.
Wakiulizwa kwa nini wanatengeneza movie kama hizi wanasingizia teknolojia upumbavu tu
hapo kwenye red inabidi ukumbuke kitu kimoja, kujifunza kuna mawili: kuelewa au kutoelewa! Anayejifunza akaelewa maana yake ni kuwa ana akili na hao huwa ni wachache bali wasioelewa (wasio na akili) ndio wengi.Hii muvi inaitwa CID,ni ya kibongo yani inakatisha sana tamaa hvi inamaana hua hawa jamaa hawaangalii kazi za wenzao wa nje? hadi nikaona aibu kwa maana wenzetu wa nchi zingine wakiona watatudharau sana,kwasababu kuna action zingine hata mtoto humdanganyi alafu hata continuety ni hovyo ingawa kabla haijatoka waliisifia nadhani ni kwakua kuna matumiz ya siraha ambazo walikua wanaonekana wanapigapiga kama ile michezo ya watoto na pisto za maji!! jifunzeni kwa kuangalia kaz za WENZENU WA NJE KAMA AMUWEZ ENDELEENI NA MUVI ZENU ZA MAPENZI!!!
Tv nyingi hapa Tz zinaonyesha Telenovela nzuri sana za South America zenye visa vilivyopangika kiasi cha kukuondolea Stress ie India Love Story ukiiangalia huwezi amini wameigiza Wabrazil. Bongo Movie wanashindwa nini kuiga nao watunge story kama hizo? Nendeni Brazil mkajifunze kuigiza.
Nilifikiri nipo mwenyewe ninayeonaga kichefuchefu kwenye hizi muvi loh,
ni zaidi ya upuuzi, muvi ukiangalia kwa dakika 5-10 za kwanza unaweza kujua inaishia wapi...Continuity zero, missions za kufikia target ya muvi zero, subtitle zero...
Utakuta muvi inaanza vyema tu mfano "kuna jamaa anauza madawa ya kulevya, ana kikundi cha magaidi n.k....sasa nategemea nianze kuona harakati za kipelelezi ikiambatana na misukosuko yakutosha" chakushangaza unakuta jamaa kaenda kutubu kanisani "eti ndio akakamatwa"
Hawajui kujenga hata uhalisia wa maisha ya kawaida "kuna wasanii hawapendi ku-act kama wanamaisha ya hali ya chini...unashangaa mtu anaenda kuomba kazi restaurant lakini anaishi kwenye jumba la kifahari
Eti jamaa anapewa kazi ya kumtafuta mtu fulani tena aliyekimbilia katka jiji kubwa kama Dar es salaam....ningetarajia nione misheni za kutosha matumizi ya GPS ili kumtrace kwa mfano..lakini jamaa anatua Dar anauliza anaambiwa anaishi magomeni sekunde chache keshamkata,,,stupid!!
halafu wanatarajia wauze