Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Na mashaka na jinsia yako wewe Mwala, maana kila kukicha we ni matuc tuuu, au we mwenzetu sio rizik a.k.a Shoga? Ukijibu tuc basi nitaamini kuwa wewe ni SHOGAhali ya hewa inakusumbua hapo kati tulia tu nakuandalia dozee
Na mashaka na jinsia yako wewe Mwala, maana kila kukicha we ni matuc tuuu, au we mwenzetu sio rizik a.k.a Shoga? Ukijibu tuc basi nitaamini kuwa wewe ni SHOGA
utajitambua tu hata kwa bakora mpaka ujitambue. tulia dozeee ikuingie vizuri. kelele zako zinakata dozi inayokuingia.
hali ya hewa inakusumbua hapo kati tulia tu nakuandalia dozee
mwalla & family katiba inayopendekezwa ni kama njaa huwezi kuizuia kwa kulala usingizi!
View attachment 243208
kinakuwasha etieeee.. ngoja nkutafutie kisugulio
YOU ARE A PARANORMAL HUMAN relevant to a satanic messenger!View attachment 243214
soma hii rasimu ya wananchi alafu ufaninishe na hiyo TOILET PAPER YAKO
View attachment 243215
Wewe si unazo sehemu tatu jitafutie mwenyewe!ukishindwa omba msaada kwa Misukule wenzio wakusaidie!
bado unawashwa? nibadilishe dawa
Halafu tuoengeze transition period; baada ya Uchaguzi, tuwe na muda wa kutosha, kama mwezi mmoja kabla ya Rais kuapishwa ili kutoa mwanya kwa malalamiko yote ya uchaguzi kushughulikiwa kabla ya rais mteule hajaapishwa rasmi. Kwa sasa hivi anaapishwa siku mbili tu baada ya uchaguzi na hivyo kuwanyima nafasi watu wenye malalamiko kuhusu uchaguzi kutoa malamiko hayo.
Sisi wa Mkoa wa Katavi tunajiandikisha wapi na lini ndugu mgombea Makoko JumanneJitokeze kujiandikisha ili uweze kushiriki kupiga kura ya ndio wakati utakapofika ,kwa maslahi ya taifa letu,katiba inayopendekezwa kwa maslahi ya taifa
Hii ndio scenarioninayoiombea itokee,si kwa sababu siipend nchi yangu, bali ifungue macho ya viongozi/wabunge wetu kuona wapi tunakwenda. Sasa hivi ni tabu rais wa zanzibar kuhudhulia vikao vya baraza la mawaziri mwenyekiti akiwa si rais. Je rais wa Zanzibar chini ya chama cha upinzani ataona sababu yeyot ya maana kuhudhuria vikao hivyo? tutamlaumu akikataa, lakini mazingira ya ushirikiano kwa sasa uanategemea CCM kushinda pand zote, na ndio maana muafaka hautekelezeki na CCM watafanya kila ujuvi ili washinde Zanzibar. Losing will be too bitter a pill to swallow.
Kila nchi ina mihili mitatu. Miwili ni ya kuchaguliwa nawananchi na mmoja neutral. Bunge limejaa wachaguliwa, wakiwa chini ya Dpika ambaye anaweza kuwa ni mbunge lakini si lazina. Wabunge pia kuna wengi wa kuteuliwa, huitwa viti maalum. Kazi kubwa ya bunge ni kutunga sheria.Waanabodi ninakerwa na jambo hili naomba tujadili. Hivi serikali ni nani? Nilidhani ni wananchi ambao wanawakilishwa na bunge?
Kutokana na majadiliano yanayoendelea bungeni kuhusu mikataba ambayo serikali haitaki ijadiliwe sisi kama wananchi ambao tumewachagua wabunge hawa tunapenda kuonyesha msimamo wetu kwa kufanya maandamano ya amani na mkutano mkubwa kutoa msimamo wetu. Mikataba yote ipelekwe bungeni. Sisi wananchi ndio tunasema...
Waanabodi ninakerwa na jambo hili naomba tujadili. Hivi serikali ni nani? Nilidhani ni wananchi ambao wanawakilishwa na bunge?
Kutokana na majadiliano yanayoendelea bungeni kuhusu mikataba ambayo serikali haitaki ijadiliwe sisi kama wananchi ambao tumewachagua wabunge hawa tunapenda kuonyesha msimamo wetu kwa kufanya maandamano ya amani na mkutano mkubwa kutoa msimamo wetu. Mikataba yote ipelekwe bungeni. Sisi wananchi ndio tunasema...
MmmmhMapendekezo mengi yalichukuliwa na hata kufanyiwa kazi. Awamu ya Tano.
Wakata ishu walihenga.
mchana mwema.