Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,811
- 3,285
Wewe mchochee aharibu, hizo ni mbinu za kufanya maandamano Mkuu. Hutaki ingiza polisi mtaani wazuie uchomaji huo,Nchi hii ilipata kuongozwa na Mwanaume Magufuli..
Mama kawa mpole mpaka kazidi yaani zawadi ya raisi inachomwa hadhara na unawaacha watu Kama hao wasio na heshma na adabu kweli?
Mbona enzi za Magu hawakuwa wanafungua mdomo hivi?
Rais Ni kweli Hawa watu wachache wanaotaka kuharibu heshma ako unawaacha namna hii!
Hao walitakiwa wale kipigo Cha maana.