Moved; tra wameita

Moved; tra wameita

Walisema wanataka either diploma bisnes,law or taxation mm pia na degree ya sheria ila niliapply kwa cheti cha diploma any way wanajua wao

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
kimbembe kwangu wameniita both preventive assistant and assistant tax officer.
 
kwanza nikueleze tu mkuu application ilifanyika online na hakuna kiambatanisho kilichohtajika. Pili hao watu ninaowazungumzia ni wa chuo kimoja(yaani wenye gpa ndogo wengi wamechukuliwa na wale wenye gpa kubwa wengi wameacha na wamemaliza same collage and same year na wote wamekidhi vgezo vinginevyo)
Now we are taking the same language,kama wote wametoka chuo kimoja na mwaka mmoja basi there must be some thing wrong( Nepotism).
 
Back
Top Bottom