Mkuu unamaanisha nini???
remember Crocodile?harakati za Stimela je?puppet Constebo Sabela?
Crocodile "the killer disease is in South Africa but only the boers are getting it" a story with a happy ending
Umeandika Move instead of movie then umegraduate udsm kabisa!!!
Ndo ndugu alichomaanisha yani amekuwa puzzled
Umenikumbusha mbali mno..nilikua napenda pale mwanzo inavoanza...'come on nelson,why cant i be a star?what does the star do?nothing..look at the camera..smile to the camera..look at everybody big eyes..say nothing..aisee nilikia siichoki hii movie hadi leo

wakati naona hii movie nilikua bado mdogo sasa kwenye cover walikua
wameandika based on true story.. yaani mi nikajua ndio ukweli ukweli
wale waigizaji... yule kaka aliekua anampenda sarafina nimemsahau jina
alivyopigwa risasi nililiaje.., nilikua najua kafa kikweli kweli.. ni movie nzuri
yule jamaa anaitwa Crocodile,katika maisha ya kawaida jamaa aliishafariki.