Kuna kitu gani kigumu ulichoshindwa kuelewa nilichomaanisha mkuu? Real Madrid bado wana nafasi kubwa ya kuingia fainali kuliko Barca kwa sababu wanahitaji kushinda magoli 3-0 ndani ya Santiago Bernabeu wakati Barca wanahitaji kushinda 5-0 ndani ya Camp nou. Nadhani unajua kuhesabu 1 mpaka 5.