Mourinho anaudhi

Mdoe Snr

Senior Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
115
Reaction score
30
jana ilikua siku mbaya sana kwa mashabiki wote wa Liverpool baada ya kupoteza mechi dhidi ya Chelsea.

Kuna mambo mawili tu binafsi hayajanipendeza.
1.Kupoteza muda bila sababu.Tangu mpira unaanza Chelsea walitumia mbinu hii sijui hasa nia hasa ilikua nini.

2.Kucheza defensive game bila sababu. Tumezoea mbinu hii ya 16th century ikitumiwa na Mou wakati akicheza mtoano kama ambavyo atafanya j5 hii,Sasa kulikua na sababu gani yakufanya hinyo kwenye League?

SO OLDISH STYLE!!!
 
Shauli yako kama amekuuzi kwa wengine ndio fura yao na ssi umesikia maneno yake alioongea baada ya mchezo huyo ndo SPECIAL ONE!!!!!
 

mpira ni magoli mkuu!
 

Kwenye mpira ukitumia mbinu ya kupoteza muda, waamuzi huwa wanasimamisha saa. Kumbuka jana, kipindi cha kwanza kiliongezwa dakika 3 ila mwamuzi wa kati aliongeza zikafika 5 na ushee. Kipindi cha pili kiliongezwa dakika 4 na mwamuzi alichezesha mpaka 5 na ushee. Kwahiyo waliongezwa kama dakika 9-10 hivi. Sioni haja ya kulalamika hapa!

Hata hivyo. Fanya hivi, CHL walipoteza dakika 20. Kwenye 90 bado una dakika 70....mbona LIV hawakufunga?

Kuzuia ni mbinu ya mchezo. Wala usimlaumu JM. Mbona LIV walishindwa kuzuia wasifungwe??

Aliyezuia kashinda na aliyeshambulia kafungwa!

Huo ndiyo mpira!!!
 
Tatizo Liverpool waliingia na ushindi kabisa, na vile Mour aliwadanganya kuwa hana lengo
na Ubingwa wakajisahau na kujiona tayari Mabingwa. hakuna Uchapioni wa bulebule fanyeni kazi.

Mpira magoli.
 
mi huwa nawashangaa wanaolalamika kuwa mourinho ana mbinu za kudefend. sasa wao kwa nini wasije na mbinu mbadala.haya wao walioshambulia imekuaje kwao? ni ulalamish usio na msing.ni sawa na kupigana na mtu ngumi halaf akakushinda kw KO unaenda kulalamika kuwa alikuwa anajikinga sana uson hukuweza kumpiga ngumi.
 
Maneno ya Jose Mourinho:

"It was a defensive display? I'm a bit confused with what the media thinks about defensive displays. When a team defends well you call it defensive display. When a team defends badly and concedes two or three goals you don't mention a defensive display.'
"


 

Mou katenda jinai gani kwa kufanya alivyofanya? katika sheria 17 za kandanda (futzbal) hakuna inayomkataza tactician Mou kutumia mbinu aliyoitumia.
Liver walikuwa na ball possession ya 75% +; kwa nini washindwe ku-preempt Mabasi ya Mou.

Brendan; Liver fans wajilaumu wenyewe; walijua Mou atapaki mabasi; kwa nini hakuandaa counter measures kuwalipua Che?!
Kama waliona Mou amepaki mabasi, kwa nini waendelee kupiga mashuti ya mbali kuelekea kwenye ukuta wa mabasi ya Mou? kwa nini wasijaribu kucheza kama Barca; kupenya kuingia ndani ya 18 na kuwalazimisha che kufanya makosa ambayo yangewapatia mabao hata 2 kwa njia ya penalt na free kicks au dead balls!
 
Kuna haja ya makocha wa EPL kufanya upembuzi yakinifu juu ya mfumo wa uchezaji kama Chelsea wamepaki basi kwanini wasiwe na njia mbadala ya kupita hapo?
Tuangalie Jumatano kama Atletico watakuwa na njia m-badala
 
morinho: better team wins ...........
 
Morinho Madrid kule mashabiki walimtimua kama mbwa mwizi kwa mpira wake wa kipumbavu, mpira hauna hata radha, umepitwa na wakati
 
Tatizo Liverpool waliingia na ushindi kabisa, na vile Mour aliwadanganya kuwa hana lengo
na Ubingwa wakajisahau na kujiona tayari Mabingwa. hakuna Uchapioni wa bulebule fanyeni kazi.

Mpira magoli.

Gerald alikuwa anaongea ongea sana as if wamechukua ubingwa tayari...mbafuuuuuu..chelsea wanajua

Aione invisible
 
ila bdo ubingwa we2 liver man city must apgwe na evertn nyie chel mnatoka kapa msimu huu
 
Wa radha ni wakutafta penat na redcard kwa mpinzani ee
Morinho Madrid kule mashabiki walimtimua kama mbwa mwizi kwa mpira wake wa kipumbavu, mpira hauna hata radha, umepitwa na wakati
 
Liverpool bana..kwani mourinho ni kocha wenu?hayupo pale kuwafurahisha endeleeni kuudhika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…