Kwani morinyo kocha wa madrid?Endapo Mourinho atamnunua Salah Real Madrid msimu ujao kuna uwezekano ndoto yangu ya Mohamed Salah kupata Ballon D'ior ikatimia.
Halafu msimu wa 27-28 iwe zamu ya dogo Lamine Yamal kuisaidia Barca kutwaa UCL na yeye kupewa Ballon D'ior.
Ikitokea hivyo ntafurahi sana.
Ndiyo maana yake. Anategemewa kusaini mkataba wa miaka miwili.Kwani morinyo kocha wa madrid?
With maniac disorders.Jombi temana na mimi wewee na ID zako lukuki
Morinyo tena? Mbona kama mbinu zake zimepitwa na wakati..Ndiyo maana yake. Anategemewa kusaini mkataba wa miaka miwili.
Klopp alidengua. Hela anazochukua pasipo msongo wa mawazo kutoka Redbull zimemnogea.Morinyo tena? Mbona kama mbinu zake zimepitwa na wakati..
kwani Klopp hawamuoni?