Guys!!! Yan level of thinking capacity yenu ndio ndogo kias hicho!? Wana akili zai ndo mana wameeka hivyo,hizo tr zipo correct kabsa coz kuna frst wamechaguliwa hapo na wapo jeshin so watahitaj muda wa kujiandaa ndo maana tr ya new bachelor iko mbele kuliko continuing bachelor.msicram kila kitu bhana,smtym mambo yanabadlika