Hivi huenda SERIKALI haijui kizungu eeeh.Botswana umeenda mbali sana mkuu hapa jirani tu wakenya wanautumia ipasavyo huu mlima pamoja na Serengeti. Serikali yetu kimya hawajawahi hata kusema neno.
Wanaojua kizungu,wanajua matusi tu,wamo humu kuandika ujinga tu.Lawama ziende kwa Mawaziri ambao ni mzigo..
Tungefanya tourism promotion ya kutosha, watalii wangepata correct information na wangekuja direct Tanzania. Nchi ingepata mapato na ajira kuongezeka
Sasa mzungu amekosa information kwa sababu ya uvivu wetu.....tunataka misheni town...
Sasa mzungu ameshapotea ameenda Botswana kupandishwa kichuguu...pesa tumekosa na Botswana wamepata pesa
Ndio cz Haiwapi sapoti kubwa hawa operatorsJe na hili ni kosa la serikali?!
Ni ya mtanzania ile kwa ubia na kaburu,anapromoti mbuga ya homePita pretoria hapo kuna Serengeti pub......
Bwana wee katika project 100 ambazo zinazinduliwa na mwenge ni 20% tu ndo zina uwezo wa kuendelezwa nyingine zote mwenge ukipita na zenyewe zimepita yan ni kama kanyaboya tu ..so usitudanganye kuhusu mwengeMwenge una faida nyingi sana....Kwanza unaimarisha umoja wa taifa kwani wanaoshiriki ni watu wote bila ubaguzi...lakini kubwa jingine ni kwamba unahamasisha maendeleo...wewe fikiria tu ni projects ngapi zinazozinduliwa wakati wa mwenge nchi nzima....Watu wanaopiga kelele kuhusu mwenge hawajielewi...mwenge wa uhuru unahamasisha watu kujiendeleza katika suala la maendeleo kiuchumi, kielimu, afya na kadhalika...The torch is a unifying 'symbol'....vijana wengi hawaelewi kabisa kwza kuwa wanadanganywa na wanasiasa....
reality will strike,akienda botswana atapindishwa kichuguu kwa dakika 20 atastuka na kutafuta real kilimanjaro....wasamehe bure hata mtukufu alisema sadam ni rais wa kuwait na kiazi mmoja akasema mbele ya kamera za dunia kuwa tanzania ni muungano wa tanganyika na visiwa vya zimbabwe!!