Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 846
Nakubaliana na wewe 100%.Botswana is a middle income country. Kwa hiyo ni wabunifu kidogo
Wakati sisi tunatumia mabilioni kukimbiza mwenge wenzetu wanatumia nguvu kidogo tu kujitangaza kupitia vivutio vyetuThe sleeping giant is always in long sleep, dah tatizo CCM, Mwenge ndio zindiko linaloendelea kupofusha.
reality will strike,akienda botswana atapindishwa kichuguu kwa dakika 20 atastuka na kutafuta real kilimanjaro....wasamehe bure hata mtukufu alisema sadam ni rais wa kuwait na kiazi mmoja akasema mbele ya kamera za dunia kuwa tanzania ni muungano wa tanganyika na visiwa vya zimbabwe!!
Nishaona Tanzanite made in South AfricaTunaambiwa Dunia nzima Tanzanite IPO Mererani Arusha Tanzania tu,,
Lakini wazungu wanajua inatoka hapo kwa Moi.
reality will strike,akienda botswana atapindishwa kichuguu kwa dakika 20 atastuka na kutafuta real kilimanjaro....wasamehe bure hata mtukufu alisema sadam ni rais wa kuwait na kiazi mmoja akasema mbele ya kamera za dunia kuwa tanzania ni muungano wa tanganyika na visiwa vya zimbabwe!!
Hivi kuna mtu kweli ataenda Botswana kupanda mlima Kilimanjaro?! Wazungu au watalii kwa ujumla sio wakurupukaji eti aone funny tv series ya mt kili akurupuke aende Botswana.
Bado nauliza mtalii anaetaka kupanda Kilimanjaro atafanya booking kwa travel agent wa Botswana? Anyway sijui hio biashara na sikujua kama touarists are that dumb.Sio lazima aende Botswana.. Au sio Lazima aende Kenya.....
Kama unaijua biashara ya tourism, usingesema hivyo
Tourist anaweza kubook Trip ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa Travel Agent wa Botswana au wa Kenya.....Huyo Travel Agent wa Kenya au Botswana ana msubcontract Tour Operator wa Tanzania kwa faida kiduchu
So, Travel Agent wa Botswana au wa Kenya anakuwa ametengeneza Commission (profit) na nchi yake inakuwa imepata faida.....
Learn to Learn
Hivi kuna sheria inazuia hayo majina kutumika? Mimi najua very expensive sun glasses brand Serengeti.Pita pretoria hapo kuna Serengeti pub......