donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Bubble gum rap yeah but can't you give him some credit on one or two of his works?Motra was never, is not and will never be a threat to Hip hop.
Bubble gum rap
Namkubali dogo kiaina,TWO STEPS my favourite song kutoka kwa baba ako huwa sichoki kuisikilizaBubble gum rap yeah but can't you give him some credit on one or two of his works?
Amini bro japo kuna baadhi ya watu hawamuelewiMY CROWN nayo nimeiongeza kwenye list yangu baada ya kuisikiliza sasa hivi aisee ni mdundo,dogo ana flow flani unique wenye sikio la muziki nadhani wanajua namaanisha nini
Yeah amesema, alimalizana nae like 4 years ago πππChuma cha moto, ila mex alisema alisha malizana naye so haoni kipya kwa dogo
Sasa 4 years ahead ndio una reply, means ulisha kufa kihisiaππ¦Yeah amesema, alimalizana nae like 4 years ago πππ
Mbona nyepesi sana kama mbana pua.Hii diss-track aisee ambayo motra ameitoa like seven days ago ni noma sana according to my ears, Mex Cortez needs a serious comeback. Hajamuacha mtu salama humo hadi kina Freddy Mullah, Conboi etc. Wametajwa.
Hii inanikumbusha few year ago, pale Big Sean alivyotoa ngoma ya Control ( Ft. Kendrick Lamar & Jay Electronica ), verse ya Kendrick kwenye ile ngoma ilisimamisha dunia ya hip-hop kwa masaa kadhaa (unaweza Google ukasearch Kendrick Lamar control verse reaction twitter ) . All in all, angalau game inachangamka ilipoa sana kwa trend ya sasa ya mziki uliopo
View attachment 3404616
ππππSasa 4 years ahead ndio una reply, means ulisha kufa kihisiaππ¦