Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,755
Angalia mkuu usije ukawa ushaliwa aisee...hii nchi lolote huwa linawezekana...Sitashangaa kusikia nyaraka zimeungua, maana hata mimi kuna pesa zangu zilipelekwa huko halafu nikicheki account hakuna kitu.
acha liungue tujenge christapen tower tehetehetehe......||||||||||||||
Iliungua WTC unashangaa PPF? Acha makandarasi watengeneze deal, TUMESHAWAZOEA. Af utasikia "ooh, shoti ya umeme", pumbaf, mbona ikulu hatujawah sikia, au kule hakuna umeme
Mawazo finyuHii nchi tuna matatizo sana! Ukiangalia picha ya kwanza, ya tatu na ile ya sita -toka juu- utaona kijana/askari wanaangalia moto bila ya kuvaa mask/kinga yoyote. Infact picha ya sita wanazima moto huku wakiwa watupu kabisa. Wakizidiwa na moshi?
Lakini kwenye picha zingine, watu wa zima moto wanaonekana wamefika kwenye eneo la tukio kabla ya kuvaa magwanda ya kazi! Tuna safari ndefu bado.
Mawazo finyu
Hao unaowaona kwanza ni watu wa kwanza kufika kwenye tukio na wanaonekana kama sio walinzi bali ni wafanyakazi wa hapo, mie naishi ulaya na sijawai kuona kwenye first aid ya jengo lolote wameweka mavazi ya kuzima moto na masks, bali ni fire extinguishers
Badili na jina lako basi uite bill johnson ili tujue unaishi ulaya au us kwani unaona kila kitu kilicho kwenu ulikotoka ni cha kishamba .
Mtaa wa Ohio na Azikiwe? Ndipo ilipo ofisi ya Mukono.