Ppf tower ya wapi? Mbona huweki mambo yaeleweke!
Watazima ukifika chini!Halafu jamaa wanafika wanashangaa shangaa,eti ngazi zao fupi kufika kule juu! Ngoja usambae...
Ppf tower ya wapi? Mbona huweki mambo yaeleweke!
Kwa majengo yetu marefu na uozo wa matayarisho wa kuzuia moto, nilijua hili litatokea siku moja and we will be powerless kuzuia au kuzima moto huo!ppf tower inawaka moto asubuhi hii
"Ni JENGO LA ppf" LILOKO MAKUTANO YA MTAA WA OHIO NA GARDEN AVENUE katikati ya jiji la Dar es Salaam, mtaa wa Garden avenue linawaka moto mkali.
Kwa sasa moto unatoke kwa juu ya paa ya jengo hilo.
Gari la zima moto na wafanyakazi wa zimamoto wanahagaika kutafuta mbinu na jinsi ya kuweza kufika juu ya jengo, lakini kufuatana na vifaa duni wanapata shida jinsi yakuweza kufika eneo lenye moto.
Vijana wazimamoto wamejitahidi kupunguza kasi ya moto, lakini bado kuna dalili za moshi mzito upande wa kusini mwa jengo.
Ikulu kulishaungua moto allegedly ulioanzia na pasi.
Tunajenga vipi mighorofa bila ya kuwa na mipango ya kuzima moto?
wajinga utawasikia tu ati huo ni mpango wa FREEMASON hivi sasa hivi wanakalukuleti tarehe ya leo mwezi na mwaka na saa ilipoanza kuungua ili waje na data za kijinga na kihuni...kila kitu FREEMASON ,mtuache tupumue jaman kaah
wamekwiba nini tena huko?
Kwani Vodacom wameshahama ndani ya jengo hilo ? Siku nyingi sipo Dar ( sijui ) kama Vodacom hawajahama basi kuna kitu kinatafutwa hapo kufichwaa...
Hakuna jengo kubwa kama hilo hapa Tanzania ambalo halina miundombinu ya Uzimaji moto , Sema tu hao Zimamoto wetu hawataki kuuzima ! Kila jengo kubwa na la kisasa kama hilo lina Automatic sense za moshi tu na kufyatua maji kutoka juu ya dari, Achana na yela ma pipe mekundu kibao kila floor yaliyokitwa ukutani mwa jengo kwa ajili ya kuzima moto yenye maji kibao ni kuinyakua tu kutoka ukutani na kuweka switch on na kuachia maji !