Kitengo kazini!Tena mm nilikuepo subiri niwatumie pichaView attachment 2682966
Etwege umerudiTunataka bandari zetu
Inamaana had zinaungua zote hakuna huduma ya kuzima moto?Tena mm nilikuepo subiri niwatumie pichaView attachment 2682966
Wakati wanajenga hawakuweka mifumo ya kuzima motoFire truck zilikuwa gereji mpaka hotel nne zikaungua?
Hizo hotels ni za hadhi gani?
Halafu unakuwa huna bima!
Zitoke wapi maji umeme wanategemea kutoka Bara tena wapewe bure bila kulipia chochote,Inamaana had zinaungua zote hakuna huduma ya kuzima moto?
Khe mbona ni hatariZitoke wapi maji umeme wanategemea kutoka Bara tena wapewe bure bila kulipia chochote,
404: Page Not Found
Hatutegemei maji kutoka bara upoZitoke wapi maji umeme wanategemea kutoka Bara tena wapewe bure bila kulipia chochote,
404: Page Not Found
Kuchoma hoteli duhKitengo kazini!
Laana kabisa hiiLaana za kuuza bandari za Tanganyika.
Pengine wamezichoma kwa makusudi ili walipwe na bimaFire truck zilikuwa gereji mpaka hotel nne zikaungua?
Hizo hotels ni za hadhi gani?
Halafu unakuwa huna bima!
Umeme je? Mnategemea wapi kwa wajomba zenu?Hatutegemei maji kutoka bara upo
Na nyengine iyoView attachment 2682972View attachment 2682973
Wataanza kusema Allan amekasirika 🤣🤣🤣Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeunguza Hoteli nne na nyumba moja ya makazi huko Paje Wilaya ya Kusini Unguja, Mkoa wa wa Kusini Unguja Zanzibar.
Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Kamanda wa polisi mkoa huo, Gaudianus Kamugisha jeshi la polisi linafanyia uchunguzi chanzo cha moto huo naye Mkuu wa Wilaya hiyo na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Rajab Mkasaba amesema kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa 6:00 usiku wa kumkia leo Julai 9, 2023.
Masauni amekuaje amawa Waziri wa Bara ?Huyo kamugisha imekuwaje akawa kamanda Zanzibar?
Idumu muungano wa TanzaniaMasauni amekuaje amawa Waziri wa Bara ?