Nengonengo
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 305
- 61
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema umasikini kuliko wote ni umasikini wa fikra! Wewe unapima mvuto wa chama kwa kuangalia watu waliojitokeza makao makuu ya polisi kumsindikiza Mbowe? Kama ni hivyo basi CCM ina mvuto sana maana watu wanaojitokeza kumsikiliza JK ni wengi kuliko hao waliokwenda makao makuu ya polisi.
CDM imejaa vichaa. Ninasema uwezo wao kufikiri ni mdogo sana. Hivi hawawezi kufanya siasa bila fujo?
We wa wapi? hujui mikutano ya ccm watu husombwa na malori kwa kupewa t shirt na ubwabwa!
Asante kwa picha mkuu , maana huu uzi ulikuwa chukuchuku sana !
Mccm kwishnet