Christian Ronaldo
Member
- Sep 18, 2014
- 89
- 23
This will be a nice name for them"FISIEM"Mccm kwishnet
palipo na ushindani ufanisi ni wa hali ya juu!, mimi napenda sana political parties viwe na ushindani, sio chama kimoja kushika hatamu milele! chadema, cuf na nccr kazeni but ili mpambane sawasawa!

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema umasikini kuliko wote ni umasikini wa fikra! Wewe unapima mvuto wa chama kwa kuangalia watu waliojitokeza makao makuu ya polisi kumsindikiza Mbowe? Kama ni hivyo basi CCM ina mvuto sana maana watu wanaojitokeza kumsikiliza JK ni wengi kuliko hao waliokwenda makao makuu ya polisi.
Unajua kuna vitu vingine vinatisha sana mjini hapa,ma ccm yalikuwa yanazungumza meengi kuhusu kuitwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa tena yakijidai kwamba watu hawatafurika makao makuu ya jeshi la polisi yakitaka kuwaaminisha watu kwamba CHADEMA imepoteza mvuto,KILICHOTOKEA?,aibu kwao makamanda daima mbele polisi wadogo wanafanya kwa maagizo ya wakubwa wao coz nao wanakula kwa mgongo wa magamba,hakuna atayetawala milele IS OUR TURN NOW...VIVA CHADEMA,CUF,NCCR MAGEUZI,magamba tuonane 2015...

nimeona leo kwenye tv askari wa kike akitoa amri ya kuwatawanya wafuasi wa chadema, nimemsoma kisaikology, kwa matamshi yake na body language, askari wadogo jana hawakuwa tayari kuwapiga, wananchi na waandishi wa habari ila ilikuwa ni amri ya shinikizo bila sababu kutoka kwa wakuu wao.
nadhani kuna kitu nahisi hakiko vizuri jeshi la polisi, ipo siku polisi watagoma kutekeleza amri za kijinga za wakuu wao, kwani yule askari alikuwa kama vile analalamika kuwa wao wameshinikizwa t0u. si katika utaratibu wao wa kawaida wa kiusalama, kwani wanajua hakuna madhara yoyote kwa wananchi kumsindikiza kiongozi wao kwa amani
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema umasikini kuliko wote ni umasikini wa fikra! Wewe unapima mvuto wa chama kwa kuangalia watu waliojitokeza makao makuu ya polisi kumsindik iza Mbowe? Kama ni hivyo basi CCM ina mvuto sana maana watu wanaojitokeza kumsikiliza JK ni wengi kuliko hao waliokwenda makao makuu ya polisi.