Khaa!! Watu wa uhamiaji wangekuwa wanapitia humu kazi yao ingekuwa rahisi sanaPoleni sana waasirika wa tukio hilo la moto huko mbagara
Lete kamera nikapige nikuwekee! Eboo umekariri🙁
Haijafahamika alienipigia ni mshkaji anaishi mianzini jirani na hapo kokoto nadhani kesho tutazipata habari kwa kina
We nae hata hueleweki...'moto sio mkubwa ila ndio kinamalizikia'...kinachomalizikia ni nini? kama ni hiko kituo basi moto ni mkubwa.
Acha mbwembwe ndugu. Hata ukisoma hiyo habari ya mtoa mada inaonyesha kabisa hayupo eneo la tukio. Sio kila kitu ni kukosoa tu hata bila msingiWaswahili bwana. Umeona moto unawake badala ya kushiriki katika kuuzima ili usisambae kwa kasi wewe unakimbilia kisimu chako na kuingia humu jf kuandika kama unafukuzwa. Au unajiona kidume kuwa wa kwanza kuripoti hilo tukio
Kumbe hizo habari umeambiwa halafu unajifanya unajua, nimekwambia wekapicha ukaanza kuniponda sijui nikupe kamera mara nimezoea kukariri isitoshe hata mbagala hatupajui.
huna akili wwe, nadhani umezaliwa kuanzia 2000 kuja huku, hukumbuki tukio la Isongole Mbeya moto unawaka mwingine anahangaika bado kuchota mafuta
Khaa!! Watu wa uhamiaji wangekuwa wanapitia humu kazi yao ingekuwa rahisi sana
Mbagala ya Dar mkuu!!Uzi umejaa walimu wa kiswahili kazi ipo, ngoja niachane nao niulize swali hebu tuelekezeni vizuri mbagala ipi ???????
Khaa!! Watu wa uhamiaji wangekuwa wanapitia humu kazi yao ingekuwa rahisi sana
Ha ha ha!Khaa!! Watu wa uhamiaji wangekuwa wanapitia humu kazi yao ingekuwa rahisi sana