Apostle Buldoza Mwamposa atakuwepo Jijini Mbeya, kuanzia tarehe 29/9/2022 na kuendelea kwà muda wa siku 6.
Watu wa dini zote mnakaribishwa.
Usipange Kukosa!!!!
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Kama kawa bila kusahau Mafuta ya UpakoKatoni za maji zitakuwepo?
Apostle kuna muujiza huku!!!Nitakuwepo ingawa mimi ni swala tano,tena suruali fupi.
Hakuna namna unaweza kumkwepa Yesu.
Duh. Kama fiestaNitakuwepo ingawa mimi ni swala tano,tena suruali fupi.
Hakuna namna unaweza kumkwepa Yesu.Bila kusahau nina sigida kubwa usoni hakuna namna.
Hakuna namna.Duh. Kama fiesta
Nini kimetokea
Anichie pale Kawe nipige kazi
Kuna jamaa anasema yeye ni swala tano tena ni yule muislam wa suruali fupi.,Nini kimetokea
Nitakuwepo ingawa mimi ni swala tano,tena suruali fupi.
Hakuna namna unaweza kumkwepa Yesu.Bila kusahau nina sigida kubwa usoni hakuna namna.
Bei elekezi ni kiasi gani siku hyo
tapeli la kinyakyusaApostle Buldoza Mwamposa atakuwepo Jijini Mbeya, kuanzia tarehe 29/9/2022 na kuendelea kwà muda wa siku 6.
Watu wa dini zote mnakaribishwa.
Usipange Kukosa!!!!
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app