Geita Gold Mine na Nzega Resolute ndio hakufai kabisaaa, wazawa wanazalilishwa, wananyanyasika, wanafukuzwa na hata kutandikwa makofi ni mfanyakazi mmoja tuu tena binti aliye thubutu kwenda mahakani na akaweza kuisimamia kesi yake adi kikaeleweka
Tatizo kubwa lililoko huko ni utititli wa watu wanaodhani migodini kunalipa sana......... Kimsingi kunaonekana kunalipa kwa vile kula la saba (LY) wengi mno ambao wanalipwa sawa na wenye madigfrii yao tena wengine wanwazidi wenye digrii........... Sasa hao wa la saba shughuri yao kubwa ni kutangaza mitaani jinsi anavyomzidi mshahara graduate...............
Nilishawahi kufanya kazi pale KMCL.... NAFAHAMU AKINA SUGUTI, KITOKEZI WALIFANYA NINI.............. NA VILE VILE NAMKUBUKA SANA MZEE KICHELE ALIVYOWAFANYIA WALE WATU WALIOKUWA WANAFANYA TRAINING PALE PAMBA ENGINERING PALE MWANZA TAYARI KWA KWENDA PROCESS PLANT...... NI FULL KUJIPENDEKEZA KWA WAZUNGU......... VILE VILOE NAMFAHAMA LA SA SABA MMOJA ANAITWA MPANDUJI..KATIMULIWA SANA LAKINI ALIKUWA ANAJIONA SANA PALE KMCL KWA VILE ALIKUWA ANALIPWA SAWA NA GRADUATEMkubwa Ngalikihinja huko migodini wanaotuangusha ni hawa akina uncle tom 'wakusoma' watanzania wenzetu wanaoitwa human resources managers na community relationship managers siku zote wao ndio wakandamizaji wa haki za wafanyakazi wao na jamiii zinazozunguka migodi muda wao mwingi ni kuzunguka zunguka immigration wakiwatafutia work permits ma expart ambao ni fresh graduates huku wakiwaponda wabongo wezao kuwa degree zao ( hata kama ni Phds) hazikidhi soko la ajira wakati na wao wamesoma vyuo hivi hivi vilivyopo
Nilishawahi kufanya kazi pale KMCL.... NAFAHAMU AKINA SUGUTI, KITOKEZI WALIFANYA NINI.............. NA VILE VILE NAMKUBUKA SANA MZEE KICHELE ALIVYOWAFANYIA WALE WATU WALIOKUWA WANAFANYA TRAINING PALE PAMBA ENGINERING PALE MWANZA TAYARI KWA KWENDA PROCESS PLANT...... NI FULL KUJIPENDEKEZA KWA WAZUNGU......... VILE VILOE NAMFAHAMA LA SA SABA MMOJA ANAITWA MPANDUJI..KATIMULIWA SANA LAKINI ALIKUWA ANAJIONA SANA PALE KMCL KWA VILE ALIKUWA ANALIPWA SAWA NA GRADUATE
dah! kuna siku nilikutana na kijamaa cha togo, f4 graduate afu fundi wa magari. analalamika hawamlipi vizuri coz anapata $ 6,000 tu. sijui allowances! nadhani kuna sheria ya uhamiaji inayozuia kuajiri foreigner mwenye ujuzi unaopatikana hapa nchini. watu wa uhamiaji na labor dept wanahusika hapa!
Hii kitu inaumiza sana jamani. Hivi kwanini hawa Viongozi hawawathamini Watanzania katika kupigania maslahi ya Watanzania!
Mkuu mimi mwenyewe waliuzi sana!! Pamoja na kuwa na juhudi za kwenda kwenye interview zao, lakini mara nyingi walikuwa matusi kwenye mshahara!! nikaamua niachane nao! wabaya wa watanzania ni HR wa kibongo, wanauzi sana hawa jamaa! full kujipendekeza na kuwaumiza wenzao wakati white wanakula Mil 2 kama living allowance, mshahara moja moja nchini anakotokea, hata kodi hatuukati wabongo!!
Kuna wabongo wengi tu ambao ni experts zaidi ya hao wanaojiita experts kwenye mining industry, power industry! lakini mi nalia na hawa HR wa kibongo. Pili, serikali yetu nii ya hovyo sana! wao wanajua 10% basi, maslahi ya nchi hukoo hawana muda na nchi.
Ufisadi umefikia pabaya sasa ni weupe kwa weupe