Moto umewaka Barrick

Moto umewaka Barrick

Mr Ngoma

Senior Member
Joined
Jul 22, 2008
Posts
139
Reaction score
76
Ufisadi umefikia pabaya sasa ni weupe kwa weupe
The African barrick.jpg
 
Hivi Deo Mwanyika bado ndio CEO wa Barrick?
 
Blame it on Ambassador Bomani and his fruitless committee!!
 
Steve... why not the head of state aliyeahidi atafanya makubwa tena kwa kuanzia kwenye madini in 2005

Umesahau ahadi na vile vikao vya mwanzo?
 
Ndio maana mimi waliishanihitaji mara mbili sikukubali maujinga yao. First time tulikubaliana gross USD3+++ lakini nilipoenda kuliport nikakuta wameandika appointment letter ya TSh3++++ nikaona huu ni upuuzi nikatemana nao. Second time tukakubaliana Gross USD4+++ na ilipofikia salary wakabadili net ikawa Gross siku hiyo hiyo nikaondoka Juzi boss wao anapiga simu eti anataka tukakae tukubaliane na sasa sitakli kazi zao tena, bora niende kulima mpunga wangu iringa nikivuna napata jasho langu.
 
wanatia hasira sana mkuu wanatunderstimate sana sisi wazawa yatupasa kusimama kwenye hili..
 
Wajukuu zangu mtakuwa mmesahau Theory of Demand and Supply, wajukuu wangu hii ina-apply pia hata katika labour market. Ilaumuni CCM na uongozi wake miaka yote zaidi ya 50 wameshindwa kufanya Demand iwe kubwa kuliko Supply ili kabei kapande juu kidogo. Wee huoni sasa hivi ma-graduate wanafanya kazi Benki kama ma-bankteller na wana-shine kwa Tshs500,000 za Kitanzania huku wakisukuma mikoko barabarani ya mkopo iliyolenga kuwafanya washindwe kuacha kazi, sembuse Tshs800,000?. Ngoja mimi niendelee kujilimia matikiti maji
 
Ndio maana mimi waliishanihitaji mara mbili sikukubali maujinga yao. First time tulikubaliana gross USD3+++ lakini nilipoenda kuliport nikakuta wameandika appointment letter ya TSh3++++ nikaona huu ni upuuzi nikatemana nao. Second time tukakubaliana Gross USD4+++ na ilipofikia salary wakabadili net ikawa Gross siku hiyo hiyo nikaondoka Juzi boss wao anapiga simu eti anataka tukakae tukubaliane na sasa sitakli kazi zao tena, bora niende kulima mpunga wangu iringa nikivuna napata jasho langu.

Mkuu mimi mwenyewe waliuzi sana!! Pamoja na kuwa na juhudi za kwenda kwenye interview zao, lakini mara nyingi walikuwa matusi kwenye mshahara!! nikaamua niachane nao! wabaya wa watanzania ni HR wa kibongo, wanauzi sana hawa jamaa! full kujipendekeza na kuwaumiza wenzao wakati white wanakula Mil 2 kama living allowance, mshahara moja moja nchini anakotokea, hata kodi hatuukati wabongo!!

Kuna wabongo wengi tu ambao ni experts zaidi ya hao wanaojiita experts kwenye mining industry, power industry! lakini mi nalia na hawa HR wa kibongo. Pili, serikali yetu nii ya hovyo sana! wao wanajua 10% basi, maslahi ya nchi hukoo hawana muda na nchi.
 
Hawa viongozi wetu hawa wanahitaji peoples power ili wapumzike tupate wengine nao wajaribu. Hawa sasa wanaongoza kwa mazoea ,. Miaka 50 enough is enough mpaka wazungu wanaacha kazi kwa ajili yetu , Is unberiveble.
 
kama sisi tupo kama mifugo unategemea nini? viongozi wenyewe wanatuona hatuna lolote mahayawani sisi, sembuse wageni...na bado tutaendelea kunyanyasika nchini mwetu mpaka kujiita Mtz iwe aibu na kituko!
 
Ndio maana mimi waliishanihitaji mara mbili sikukubali maujinga yao. First time tulikubaliana gross USD3+++ lakini nilipoenda kuliport nikakuta wameandika appointment letter ya TSh3++++ nikaona huu ni upuuzi nikatemana nao. Second time tukakubaliana Gross USD4+++ na ilipofikia salary wakabadili net ikawa Gross siku hiyo hiyo nikaondoka Juzi boss wao anapiga simu eti anataka tukakae tukubaliane na sasa sitakli kazi zao tena, bora niende kulima mpunga wangu iringa nikivuna napata jasho langu.

Kama wanakuhitaji hivyo wape conditions zako. Tena pandisha mpaka elfu sita net na usikubali kushusha!
 
Steve... why not the head of state aliyeahidi atafanya makubwa tena kwa kuanzia kwenye madini in 2005

Umesahau ahadi na vile vikao vya mwanzo?

Has the so called head of state ever owned up to anything?? Why bother...
 
I can't wait for Nyambala's input on this thread...
 
Ni viongozi wetu ndo wanafanya huo utumbo bse wale jamaa wanaojenga barabara walikuja na rate za USD kwa wafanyakazi wake mkuu fulani akaslash kisa eti ela nyingi sana hiyo.

Hatima yake mpka sasa wamelizwa atleast 1billion interms of mafuta, kokoto, cement etc
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Geita Gold Mine na Nzega Resolute ndio hakufai kabisaaa, wazawa wanazalilishwa, wananyanyasika, wanafukuzwa na hata kutandikwa makofi ni mfanyakazi mmoja tuu tena binti aliye thubutu kwenda mahakani na akaweza kuisimamia kesi yake adi kikaeleweka
 
naskia kichefu chefu, sorry kama nitakosea kusema hivi; ni afadhali tukamwaga damu tufe tusahaulike kabisaaaa tuwaache basi wafaidi kuliko upuuzi huu unaofanyika huku tukidai kuwa nchi yetu ina amani. Samahani kama nimekosea.
 
Blame it on Ambassador Bomani and his fruitless committee!!

Why not blame it on the former minister of Energy and Minerals who started it all over 20yrs back!

Trust you have not forgotten him......
 
Geita Gold Mine na Nzega Resolute ndio hakufai kabisaaa, wazawa wanazalilishwa, wananyanyasika, wanafukuzwa na hata kutandikwa makofi ni mfanyakazi mmoja tuu tena binti aliye thubutu kwenda mahakani na akaweza kuisimamia kesi yake adi kikaeleweka
Tatizo kubwa lililoko huko ni utititli wa watu wanaodhani migodini kunalipa sana......... Kimsingi kunaonekana kunalipa kwa vile kula la saba (LY) wengi mno ambao wanalipwa sawa na wenye madigfrii yao tena wengine wanwazidi wenye digrii........... Sasa hao wa la saba shughuri yao kubwa ni kutangaza mitaani jinsi anavyomzidi mshahara graduate...............
 
Back
Top Bottom