Moto umeteketeza ghala la sigara morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moto umeteketeza ghala la sigara morogoro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanaweja, Oct 1, 2012.

 1. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kwa taarifa nilizozisikia kutoka ITV habari kwa saa moto umeteketeza ghala la sigara mkoani Morogoro na inavyosemekana maboksi mengi ya sigara yameteketea
   
 2. obm

  obm Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  du wavutajei wana raha kibao manke moshi wa bure
   
 3. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Afadhali bhana labda huyu vasco da gama mtalii wa dunia atweza kosa nauli na posho za per dm ili atulie nyumbani,fegi na bia si ndio vyanzo vya kodi kwenye hii nchi...
   
 4. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Hao nao ni cancer tu wanasambaza makati hospital zenyewa ndo goi mama goi yaani msiba wa lofa,liungue tuu hilo ghala.
   
 5. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa ila hii habari ina mahali pake. Kule Hoja mchanganyiko

   
 6. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu nadhani umepitiwa kidogo. Hapa si mahala pake
   
Loading...