Huwe unafanya utafiti sio kila kitu kupinga tu harafu unakuja kuumbuka
Hao ni oppressors wakubwa in occupied land of Palestine. Wanaua watu wasiokuwa na hatia kila leo. Wamefukuza watu kutoka majumbani mwao na wamejenga ukuta kutenganisha familia ya Palestines katika hiyo new settlement waliyojenga. Kuwaka moto na kuteketea kwa hilo eneo ni pigo dogo sana. Tungependelea maafa yawe makubwa zaidi kwa watu wenye kuchukua haki za wenzao.Sasa naanza kuamini kuna dini huwa haiamini Mungu na kama inaamini basi ni mungu na si Mungu.....yani wanafurahia majanga na wanahusisha jina la Mungu serious...?
Anyway endeleeni na kuabudu pasipo na ibada wala Mungu.
Sometimes bora kuwaacba tuu na iman zaoOna jinsi hawa wagalatia na wajukuu wa Mood wanavyojambiana hapa jukwaani alafu mtu aseme eti wote wanamwabudu Mungu mmoja, huo si ni umbumbu?.....BTW nimefurahishwa na huo mstari wa mwisho.
Kama sintaongea ninalolifikiri basi hakuna haja ya kufikiri.Kuwa makini usiwe unaongea kila unalolifikilia
Kweli kabisa Mkuu,...Dini na Cocaine ni ndugu wa damu,....wote wana-addict ingawa hakuna mwenye faida.Sometimes bora kuwaacba tuu na iman zao
Maana wanaboa,wamemeza vifungu na wameamua kuvielewa kwa mahaba
Israel fires: Tens of thousands flee as fires hit Haifa - BBC Newsweka source kwanza tuone isije kuwa unatulisha propaganda za irib tehran
Hv hakuna.sober house ya.hawa watu walio b addicted na dini??Kweli kabisa Mkuu,...Dini na Cocaine ni ndugu wa damu,....wote wana-addict ingawa hakuna mwenye faida.
Israel fires: Tens of thousands flee as fires hit Haifa - BBC NewsMpaka sasa hakuna aliepoteza maisha . Wana sema huu ni msimu kiangazi huwa ni kawaida kuwa na moto unaotapakaa maana kitu kama sigara kinaweza kusababisha moto. Na pia kuna upepo mkali moto unasafiri kwa spidi na ni vigumu ku "control".
Police wamesema kuna baadhi ya moto umewashwa kimakusudi na bado hawajui motivation yao ilikuwa nini .
Acha uongooo! BBC gani?Kwenye BBC nimeicheki wameiweka
Aisee huyo kashapotea poleni sana.Hv hakuna.sober house ya.hawa watu walio b addicted na dini??
Nataka kumpeleka ndugu yangu flan
Kasha kuwa teja wa dini,anatia mpk huruma,akili yake inawaza.vifungu tuu
Wanasali j3 mpk ijumaa
Smtym wanapeana zamu ya kumpikia mchungaji
Lichungaji linanenepa kwa afya,lipo smart,linatabasamu kwa nguvu na furaha...ila wahumin wake aiseee
Pole.sanaaa,Subhanallah,ya ALLAH nauomba kwa unyenyekevu mkubwa uwatazame waja wako uliowaumba na sasa wanakutusi humu ndani pamoja na kutoa dhihaka,nakuomba kwa uchungu ya rab udhihirishe ufalme wako kwao,uwape kile wanachostahili,aamin
Israel fires: Tens of thousands flee as fires hit Haifa - BBC NewsAcha uongooo! BBC gani?