Moto mkubwa wazuka Israel, waunguza vituo vya jeshi

Haya ni lazima yatokee ila wakristo turudi kwenye biblia kuwa si rahisi kuifuta israel kwenye uso wa dunia hivyo hili litapita na watasimama tena wewe unaefurahi leo kesho utalia kwamaana utashuhudia ufalme wa Mungu ni mkubwa na sio wakufikirika na atasimama juu yao na wataishinda vita hii kwa maana imeandikwa ni lazima washinde chekeni mu wadhihaki ila siku inakuja
 
Sasa naanza kuamini kuna dini huwa haiamini Mungu na kama inaamini basi ni mungu na si Mungu.....yani wanafurahia majanga na wanahusisha jina la Mungu serious...?
Anyway endeleeni na kuabudu pasipo na ibada wala Mungu.
Hao ni oppressors wakubwa in occupied land of Palestine. Wanaua watu wasiokuwa na hatia kila leo. Wamefukuza watu kutoka majumbani mwao na wamejenga ukuta kutenganisha familia ya Palestines katika hiyo new settlement waliyojenga. Kuwaka moto na kuteketea kwa hilo eneo ni pigo dogo sana. Tungependelea maafa yawe makubwa zaidi kwa watu wenye kuchukua haki za wenzao.
 
Ona jinsi hawa wagalatia na wajukuu wa Mood wanavyojambiana hapa jukwaani alafu mtu aseme eti wote wanamwabudu Mungu mmoja, huo si ni umbumbu?.....BTW nimefurahishwa na huo mstari wa mwisho.
Sometimes bora kuwaacba tuu na iman zao

Maana wanaboa,wamemeza vifungu na wameamua kuvielewa kwa mahaba
 
Kweli kabisa Mkuu,...Dini na Cocaine ni ndugu wa damu,....wote wana-addict ingawa hakuna mwenye faida.
Hv hakuna.sober house ya.hawa watu walio b addicted na dini??


Nataka kumpeleka ndugu yangu flan

Kasha kuwa teja wa dini,anatia mpk huruma,akili yake inawaza.vifungu tuu

Wanasali j3 mpk ijumaa

Smtym wanapeana zamu ya kumpikia mchungaji


Lichungaji linanenepa kwa afya,lipo smart,linatabasamu kwa nguvu na furaha...ila wahumin wake aiseee
 
Mpaka sasa hakuna aliepoteza maisha . Wana sema huu ni msimu kiangazi huwa ni kawaida kuwa na moto unaotapakaa maana kitu kama sigara kinaweza kusababisha moto. Na pia kuna upepo mkali moto unasafiri kwa spidi na ni vigumu ku "control".

Police wamesema kuna baadhi ya moto umewashwa kimakusudi na bado hawajui motivation yao ilikuwa nini .
 
Hv hakuna.sober house ya.hawa watu walio b addicted na dini??


Nataka kumpeleka ndugu yangu flan

Kasha kuwa teja wa dini,anatia mpk huruma,akili yake inawaza.vifungu tuu

Wanasali j3 mpk ijumaa

Smtym wanapeana zamu ya kumpikia mchungaji


Lichungaji linanenepa kwa afya,lipo smart,linatabasamu kwa nguvu na furaha...ila wahumin wake aiseee
Aisee huyo kashapotea poleni sana.

Kuna wanaojifunga mabobu ili kua wenzao, wanasali mara 1825/mwaka.

Wanabadili ratiba ya kula wakidai wamefunga, tungi hawalambi....yaani ni tabu tupu.

Weka mbali hao waliojitolea kuwa vibaraka wa wachungaji.
 
Subhanallah,ya ALLAH nauomba kwa unyenyekevu mkubwa uwatazame waja wako uliowaumba na sasa wanakutusi humu ndani pamoja na kutoa dhihaka,nakuomba kwa uchungu ya rab udhihirishe ufalme wako kwao,uwape kile wanachostahili,aamin
Pole.sanaaa,

Lini mtashtuka
 
Back
Top Bottom