Moto mkubwa wazuka Israel, waunguza vituo vya jeshi

Aisee huyo kashapotea poleni sana.

Kuna wanaojifunga mabobu ili kua wenzao, wanasali mara 1825/mwaka.

Wanabadili ratiba ya kula wakidai wamefunga, tungi hawalambi....yaani ni tabu tupu.

Weka mbali hao waliojitolea kuwa vibaraka wa wachungaji.
Kaz kweli kweli

Sasa kwa mfano hii.habar ukisoma.kabisa inaboa

Mtu.badala ya kueleza habar,chanzo cha moto nk

Anaanza mambo ya ajabu ajabu

Akili za hawa jamaa n dk2 mbele
 
Mpaka sasa hakuna aliepoteza maisha . Wana sema huu ni msimu kiangazi huwa ni kawaida kuwa na moto unaotapakaa maana kitu kama sigara kinaweza kusababisha moto. Na pia kuna upepo mkali moto unasafiri kwa spidi na ni vigumu ku "control".

Police wamesema kuna baadhi ya moto umewashwa kimakusudi na bado hawajui motivation yao ilikuwa nini .
Kumbe ni kama inavyotokea marekani??
 
Mola aliangamizi jamii ovu, jamii zinamfuata shetan na kuacha hukmu na sheria za mola mlezi, Kuanzia zama za Nuhu, Lutu, Farao na jeshi lake, wapo walioangamizwa kwa upepo,lakin kwa zama hzi Allah ameahid kuwaadhibu kidogkidogo hapa duniani na akhera ndo namba itasomeka, vyombo vya magharibi havitangazi habar zinazoonesha uwepo wa Allah na azabu anazowapa ambazo zinaadhiria uwepo wake,..Kule Burma wakat wanaendesha mauaji na ubomoaji wa miskiti ghafla kumetokea mvua ya ajabu, mafuriko yanabeba na kuua mpka zaid ya mauaji wanayoyaendesha, wakat Mashetan wakimarekani walipofanya uvamiz na kuamua kuwaweka Mashetan wenzao na kuwapa jina kua ni wana Waisrael baada ua vita kuu ya pili, leo hii wanakataza adhana, wakat shetan akisikia adhana anakimbia mbali, sasa zimepiga radi za ajabu kila kona ni moto tu, wasitangaze tu lakin habar ndo hzo, Allah hachezewi na wewe unaesema Mungu wa kweli hafanyi hvyo, jiulize Kaumu Lutu,Nuhu walifanywa hvyo na nani, tumrudien Mungu wapendwa kabla hatujalia na kusaga meno, kwa Mungu hakuna theory wala Law,

Who is Allah kwani?? Huyo Allah kawaruhusu mfurahie adui akipata tatizo au msaidie,?
Huyo Allah anakaa sehemu gani uarabuni tukamwone tumuulize km janga la moto watu wanasema allah akbar whatever that means.
Msituchoshe, hii ajali km kupinduka gari, kuanguka ndege, kuzama meli etc, inaelekea na uchumi wa Tz huyo Allah anaulipizia kisasi sababu waislam wanataka kuwa mawaziri madaktari surgeons neurologists wanasheria nk kwa elimu yao ya madrasa
 
Wahuni kama huyo jamaa yao wa kujitungia.
Sisi wa Tanzania tuna matatizo

Sijui ni sabb ya elimu yetu ya kukariri

Mtu una miliki smart phone unashindwa kwenda google kuandika Israel ukapata taarifa kama kweli au laa

Au ukaenda page ya CNN ,BBC nk

Tubadilikeni ,Mara nyingi watu wa aina hii wanalishwa matango pori
 
ISRAEL INAUNGUA

MOTO MKUBWA umewaka kwenye ardhi ya Israel maeneo walio nyan'ganya wa Palestina na unaunguza vituo vya Jeshi la ki israel
mpaka sasa wameshikwa na khofu kubwa sana na wanaomba msaada kwa TURKEY, ITALY, Greece na Qabras na inchi za Uropa.
Allah Anatuonyesha miujiza yake

Hivi juzi waliwakataza waislamu wa alquds kuadhini
Na sasa wanaunguzwa na Allah na miujiza yake

ISRAEL ON FIRE: For 10s of years Israelis have been burning Palestinian homes with Bombs and making settlement on them now Allah has sent his own unseen soldiers to burn the Israeli settlement in Palestinian occupied territory down starting with the military camp that has been totally burnt to ashes..

View attachment 439067 View attachment 439068

View attachment 439069 View attachment 439070 View attachment 439071 View attachment 439072 View attachment 439073 View attachment 439067 View attachment 439068 View attachment 439069 View attachment 439070 View attachment 439071 View attachment 439072 View attachment 439073

Mkuu nakuheshimu sana kitambo we go back in days ila unapoanza kulink haya matukio na religious beliefs ndio unapokosea sasa. Treni imeua watu India, tutasema nini? Schoolbus imeua kids marekani nako tuseme Ni miujiza ya Mungu kumkataa Trump? Ngoja tupate scientific explainatio on the incidence rather than merely basing on one's personal/spiritual beliefs
 
Na shangaa kuona watu wanashabikia maafa.
Anyway hakuna aliepoteza maisha.

Ndege za Ki Palestine zimeenda kuwasaidia majirani zao. ( Watanzania ambao hawana mchango wowote ndio wanaotoka povu)

Russia, Turkey, Greece, Italy, Croatia and Cyprus wanaenda kusaidia ndege 10 zinaenda kusaidia maafa.

USA wametuma A Boeing 747 "Supertanker" .

Hakuna aliepoteza maisha mpaka sasa basi kwa misaada hii hakuna atakaepoteza maisha .
Mungu awatangulie na poleni na matatizo haya. Yatapita tu .

Israel accepts Palestinian offer to send four teams to combat fire
 
Sisi wa Tanzania tuna matatizo

Sijui ni sabb ya elimu yetu ya kukariri

Mtu una miliki smart phone unashindwa kwenda google kuandika Israel ukapata taarifa kama kweli au laa

Au ukaenda page ya CNN ,BBC nk

Tubadilikeni ,Mara nyingi watu wa aina hii wanalishwa matango pori
Kuna watu maisha yao ni ya kuibia ibia tu, Shuleni walipita kwa kuibia, mitaani wanaishi kwa kuibia, serikalini wanaiba......haishangazi kuona hawataki kujituma kutafuta habari hadi watafuniwe, hawawezi kutafuta kutoka vyanzo vingine.
 
ISRAEL INAUNGUA

MOTO MKUBWA umewaka kwenye ardhi ya Israel maeneo walio nyan'ganya wa Palestina na unaunguza vituo vya Jeshi la ki israel
mpaka sasa wameshikwa na khofu kubwa sana na wanaomba msaada kwa TURKEY, ITALY, Greece na Qabras na inchi za Uropa.
Allah Anatuonyesha miujiza yake

Hivi juzi waliwakataza waislamu wa alquds kuadhini
Na sasa wanaunguzwa na Allah na miujiza yake

ISRAEL ON FIRE: For 10s of years Israelis have been burning Palestinian homes with Bombs and making settlement on them now Allah has sent his own unseen soldiers to burn the Israeli settlement in Palestinian occupied territory down starting with the military camp that has been totally burnt to ashes..

View attachment 439067 View attachment 439068

View attachment 439069 View attachment 439070 View attachment 439071 View attachment 439072 View attachment 439073 View attachment 439067 View attachment 439068 View attachment 439069 View attachment 439070 View attachment 439071 View attachment 439072 View attachment 439073

We utakuwa umeamua kununua vita ya waisrael na waarabu
 
Ni Roho Mbaya tu Ndugu yangu. Wao wanadai ni Allah ndo anafanya malipizi juu ya Israel.

Back
Top Bottom