Moto Mkali Soko la Mbuyuni Moshi

Moto Mkali Soko la Mbuyuni Moshi

mgogo.orijino

Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
26
Reaction score
1
Moto mkali umezuka Eneo la Soko la Mbuyuni hapa Moshi. Moto umeanza muda wa saa Mbili Kasoro usiku huu. Chakushangaza sana ni pale wananchi walivojaa kwa wingi eneo moto ulipotokea. Fire wamewasili eneo la tukio Kama baada ya nusu saa na kwa sasa shughuli za kuuzima moto huo zinaendelea. Chanzo cha moto hadi sasa hakijafahamika
ImageUploadedByJamiiForums1456767819.759797.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1456767847.421679.jpg
 
Wanataka kujenga jipya ndo style yakuhamisha wafanya biashara kwenye masoko iyo..!
 
Haya majanga ya moto jamani yashaanza tena Du poleni sana e mungu tunusuru
 
Back
Top Bottom