Nakumbuka enzi zangu shuleni, tuliunguza shule bila kutegemea kwa tabia ya kuchemsha maji kwa vijiko badala ya electric heaters hadi leo ni siri yetu.
Hivi maeneo ya Mabibo na Ubungo kuna zimamoto, au wanasubiri wafike wale wa kutoka Upanga?
Nakumbuka enzi zangu shuleni,tuliunguza shule bila kutegemea kwa tabia ya kuchemsha maji kwa vijiko badala ya electric heaters hadi leo ni siri yetu.
wewe kweli msiri!!