Ngolewasima
Member
- Apr 4, 2017
- 51
- 112
WOSIA WA CHIEF KATIKA SIKU HII YA MOTHER'S DAY.
Niweke bayana kina Mama tunaowawish leo ni toleo la zamani sio vidada vya siku hizi.
Kuna uwezekano watoto wanaozaliwa sasa wasione uzito wa hii siku
Wapi hawa wadada wameumizwa na malezi ya watoto?
Muda gani wanao wadada wa siku hizi juu ya watoto?
Angalau hata tungesema walipata uchungu wakati wa kujifungua hakuna, wengi wanapigwa wembe sababu ya kuendekeza ubishoo wa kujichubua, kula viepe na kufukia bia.
Wadada wa siku hizi sio kama mama zetu wa zamani, wamama waliokuwa na upendo na sisi na kuwa karibu nasi kila wakati l
Leo hii wadada kajifungua baada ya miezi kadhaa amekabidhi mtoto kwa hausigeli yeye kiguu na njia na ofisi siku tano za wiki
Weekend hakosi viwanja kula bia na kujirusha, wengine wamekatisha kwa lazima watoto kunyonya, mtoto anakunywa maziwa ya kopo ili tu mama apate muda wa kujirusha na kwenda na wakati
Mtoto akikua kidogo kapelekwa shule za bweni, huko ndio maisha yake sasa mpaka kwenye utu uzima
Mama wa siku hizi hana muda kabisaa na mtoto, mama hajui mabadiliko wala matatizo yoyote ya mtoto
Ndio sababu kesi za watoto kubakwa na kulawitiwa zimekuwa nyingi
Pamekuwa na ongezeko la ushoga mama anashtuka ameshachelewa
Halafu unajiita mzazi, ukitegemea mrejesho wa mapenzi kama wetu kwa mama zetu hapo baadae, sio rahisi
Huko mbeleni mama hatakuwa na uchungu na mtoto na mtoto hatakuwa na mapenzi na mama maana hakuna aliyejitoa kwa mwingine na mwingine hajawahi kushuhudia maumivu ya mwenzie kwa ajili yake
Nini maoni yako.