Mothers are simply amazing!

Kuna kipindi mnakuwa na ulimwengu wa peke yenu mama na mtoto aliye tumboni tu!
Unaongea nae naye kama ana respond kwa ku kick au ku move limbs zikatuna tumboni,akikuumiza unapapasa hiyo sehemu huku unamwambia asogee kidogo anakuumiza mara hakoo kanasogea like kameelewa! Uwiiii! Umama raha sana!
 
Wamama ni MASHETANI wanaofanana na wanadamu..

na ndo maana akakubeba tumboni miezi tisa na sasa upo duniani umeweza kuwaona ni mashetani..wababa ni MALAIKA waliofanana na wanaadamu
 

sana jamani..
 
i want to be one of them my dear babu Asprin what do you say?

I will be happy if you'll aggree my offer of taking you to the motherhood empire. Please say yes
 
Last edited by a moderator:

Really???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…