Natafuta motherboard aina ya Pinetech Smart Tv inch 43..Tv yangu haioneshi picha lakini sauti inaingiza. Mwanzo ilianza kwa TV kuzima na haikuwa inaingiza moto lkn fundi alifanikiwa kurudisha Moto na ikawa inatoa sauti akanishauri nitafute motherboard kwamba display yake imekufa .Msaada kwa mafundi tv na wale wenye uzoefu hii imekaaje na nitapata wapi icho kifaaa