Mother vs Father

ZInafanana na ukweli.
 
krrraaappp

si kweli kwamba wabab wako hivi
 
Sisi tunasema Pepo ya akhera iko chini ya mvungu wa miguu ya mama. (kwani uchungu wa mama wakukuzaa na kukulea hauna malipo) lakini Baba uchungu wake ni mfuko tu !!
 
Dah!Yani watoto wamebebwa utafikiri wawindaji wamebeba sungura!!
 
Hapo ni kuwa suala la caring kwa mtoto most fathers hawajui.Usiwalaumu bure,jaribu mpe mtoto wa siku moja au mbili uone atakavyomshika,its a matter of nature,kuwa hawajafundishwa.
 
Your children need your presence more than your presents.
 
Hakuna Baba atakae fanya Hivyo Hata siku Moja

Hao wapo kwenye acting tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…